Prof. Jay, mrudishe huyu mdada kwenye ramani

Prof. Jay, mrudishe huyu mdada kwenye ramani

Mi namfahamu yule anayetingisha TAKO tu, nasikia ni Vanessa Mdee.

We kaka koma hii ngoma aghali...!!!

Akajib...We vipi hebu nipishe

- We kinyago kubali yaishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi ulkua na komedi sana
 
Nargis yuko wapi siku hizi?

Alikuwa rafiki yangu sana enzi hizo.
 
Pauline Zongo au Marry G yule aliyekuwa anaimba sana na marehem James Dandu?

Marry G... hivi yupo wapi nowadays?

Kuna wimbo wake unaitwa 'Kalamu na Karatasi' akimshirikisha Nuruel kama sikosei, niliupenda sana huo wimbo. Alirap fulani hivi.

Marry G... Where is she?

-Kaveli-
 
Yule dada aliyeiimba anapiga kazi kampuni binafsi za ndege nilimsikia prof jay last week kwenye kipindi cha jonijo cha jela akitoa ufafanuzi.
 
Mkuu unaijua Rap au unaisikia!?? Bila kupoteza nguvu na muda, huyo Dada sio Rapper, ila alikua anaongea Tu!
We huijui rap mkuu ile ni rap...fananisha ile na ile beyonce kwenye nyumbo kama drunk and love
 
She gat a life....
4.jpg
3.jpg
x10358292_644164882327412_1265225581_n.jpg.pagespeed.ic.dsDIxoIvYT.jpg
Capture.PNGrrrrr.PNG
Mzee huyu ni video queen tu sie aliyeimba
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]2016 kulikua na mambo humu lol
 
Anae onekana kwenye video ni NARGIS MOHAMMED kacheza sana bongo movie na kina Ray..
Yah, hicho kitu nimekuwa najiuliza sana mara nyingi, mbona anafanania na yule sister muigizaji kumbe ndo yeye afu namkubali kinoma kuna movie aliahawahi kuact na Ray kama mke na mume afu yeye ni mwana sheria, ni hatari sanaaa
 
Nargis Mohamed ni mrembo nchini Tanzania aliyewahi kushiriki shindano la Miss Tanzania 2003 na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu katika kinyang'anyiro hicho.
 
Yah, hicho kitu nimekuwa najiuliza sana mara nyingi, mbona anafanania na yule sister muigizaji kumbe ndo yeye afu namkubali kinoma kuna movie aliahawahi kuact na Ray kama mke na mume afu yeye ni mwana sheria, ni hatari sanaaa
Inaitwa "WOMEN OF PRINCIPLE" ni hatareeeh, naipenda sana hiyo movie.
 
Back
Top Bottom