Prof. Jay: Nimekaa ICU kwa siku 127, nimeugua kwa siku 462

Mungu ni mwema sana kwake na kwetu sote, japo katikisika hata sauti imebadilika kabisa lakini bora ni mzima kwakweli🙏🙏
 
Sindano 5 Hadi 10 ,hujasema kwasiku au kwawiki

Pili,tusipendelee kuugua kwanza au kupata matatizo ndipo tufungue Taasisi zakusaidia
Nwanko kanu pia alifungua taasisi baada ya kuugua moyo..uzuri au urahisi watu weupe wakifungua foundation zina fikia malengo sababu ya uchumi
 
Sio kwa ubaya lakini bro akubali its over.afya yake kutengamaa itachukua miaka kama mbili ila ndo atulie kabisa nyumban hii kujaribu kulazimisha kuwa katengamaa na yuko active sio sawa .amefanya enough kwenye maisha ila atambue matatizo haya kayapata kwa mfumo wake mbovu wa kuishi hususani umalaya na ulevi .Akae nyumbani mambo ya foundation sijui tour aviache kwanza he needs his health than his fame
 
Kumbe ugonjwa wa figo inasababishwa na umalaya??
 
Unasabishwa na ulevi zaidi.au hepatitis inayoambukizwa na ngono na ndo anachoumwa.afu jiheshimu unapohoji ngono unataka tutaje na ile kubwa ingine inayochelewesha kupona
 
Sasa hapo masuala ya kujiheshimu yamekujaje? Mimi nimeuliza nipate kujua..kumbe figo inaambukizwa kwa umalaya...I didn't knew
 
Unasabishwa na ulevi zaidi.au hepatitis inayoambukizwa na ngono na ndo anachoumwa.afu jiheshimu unapohoji ngono unataka tutaje na ile kubwa ingine inayochelewesha kupona
Mnapenda kuwasema watu kama vile mnawajua sana, yaani unakomenti kama vile wewe siyo mwanadamu.
 
Mkuu mm naeongea na ww nimepimwa mwezi ulopita nimekutwa na demage ya ini kipimo ni 80 .sababu ni ulevi wa kupindukia.nimetoa wito rafiki zangu wote wakapime figo na maini .waafrica acheni kujikimbia
 
Back
Top Bottom