Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mm nahisi Jay mpaka sasa hayuko sawa ni vile tu ana unafuu tofauti na mwanzo mwamba kabadilika sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu awabariki kwa kweli. Ila madaktar na manesi wanaona mengi ya kutisha jamani.Mbona hamuwaombei Dua madaktari na manesi waliopambana usiku na mchana kupigania uhai wake.
Kweli aisee ameugua kwa muda mrefu sana tena akiwa hoi kitandani sio mchezo mwili unakuwa kama sio wake tenaMm nahisi Jay mpaka sasa hayuko sawa ni vile tu ana unafuu tofauti na mwanzo mwamba kabadilika sana.