Prof. Jay: Nimekaa ICU kwa siku 127, nimeugua kwa siku 462

Mm nahisi Jay mpaka sasa hayuko sawa ni vile tu ana unafuu tofauti na mwanzo mwamba kabadilika sana.
Kweli aisee ameugua kwa muda mrefu sana tena akiwa hoi kitandani sio mchezo mwili unakuwa kama sio wake tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…