LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nadhani machafuko yataletwa na ccm TISS na JWTZ kama kweli mliapa kuilinda katiba kataeni hizi hujuma la sivyo hamtakwepa lawama.
Mkuu hawezi kukataa, kwa sbb you ndio boss wao mkuu, mfumo ni mbovu
 
Wa kulaumiwa ni Mbowe na wasaidizi wake kwa kukubaliana na kiini macho kinachoitwa maridhiano , hakuna Dola ambayo inakubali kutoka madarakani kirahisi haswa hapa kwetu kwenye bara la giza.

Mbowe baada ya kutoka gerezani hakupaswa kwenda Ikulu bali alipaswa kuanza kuwasha moto wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi , movement ambayo ilipaswa kuna ni Non-stop mpaka 2025.


Haya oneni sasa mnavyofanyiwa vitimbi
 
Ndo wakome alowambia washiriki ninan wanajua kabisa tume ya uchaguzi haiwataki kutwa kucha kujipendekezaaa
 
Na watu waliwambia kuwa jiotoeni ok tutalinda kula
 
Pole pole alishwahi kusema ili tuendelee inabidi tufundishane adabu ,kwa mwendo huu mkiendelea kulialia tu mitandao mtapelekeshwa hadi mwisho wa dunia ,inatakiwa mvunje gap(inabidi mfundishane adabu then ndiyo mtaheshimiana).
 
Ni msiba.
Ivi afrika ni laana au nn hasa
Ndo ile laana ya kizazi cua 3 mpaka cha 4.
Inawezekana maana, tunashida sana
Inawezekana mkuu
Mtu mweusi ni kiumbe hatari sana ikiwa Mungu angemzidishia japo tone la utashi, hata Shetani angeisoma namba.
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Watu waliokuwa wanataka kuchezea katiba baada ya kifo Cha Magufuli walikuwa sahihi.

General Mstaafu Venance Salvatory Mabeyo, mseminaristi ,ulifanya kosa kubwa ambalo kwalo, Hatima ya Tanzania inakoelekea na ilipo ni sehemu ya kazi ya Mikono Yako.

Yanayoendelea na taabu ya watanzania chini ya Mama Abdul, wewe ni Sehemu.

Umepewa tende na haluwa (Chairperson of Ngorongoro Reserve Conservation Area Authority)

sitting allowance siku moja tu million 20...🤔🤔🤔,
Kulala hotel bya nyota Tano, flight ✈️ go and return.

Mwisho mwishoni, Msalimie mjumbe wako wa Bodi BAKARI NAMPENYA, muulize vipi mwakani atagombea Ruangwa???

Nandagala One, Mpumalanga, South Africa.
 
Siku ya leo nitaomba Dua Mungu ikimpendeza atuondolee huu uovu kwa namna itakayoacha alama.
Haiwezekani kila siku makosa yawe upande mmoja tu?
Mungu kama uliweza kushusha gharika kwa waovu wa kabla yetu, basi hata hawa wengine ni waovu.
 
Yule kichaa wa chattle!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…