John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Tatizo siyo dhalimu wala tatizo siyo mama yenu, bali tatizo ni kwamba Katiba ya nchi tuliyonayo ni mbaya Sana kupita kiasi.Si mlishangilia kwamba dhalimu kafa sasa mnapumua huku mama yenu akipiga mwingi?
Vilio vya nini sasa
Kwanini wanatumia pesa nyingi kuandaa uchaguzi? Kama hawataki au wanaogopa uchaguzi wawe wanateuana tu na hizo pesa zinazotengwa kwaajili ya uchaguzi zifanye shughuli nyingine za maendeleo.Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
====
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tatizo siyo dhalimu wala tatizo siyo mama yenu, bali tatizo ni kwamba Katiba ya nchi tuliyonayo ni mbaya Sana kupita kiasi.
The only available and suitable solution ni upatikanaji wa Katiba Mpya iliyo nzuri.
Wa CCM mbona wanajaza bila mawakili?Sababu ya kuenguliwa ni nini? Wagombea wote wa chadema nakumbuka walipewa mawakili wawajazie fomu,ili kusitokee yale ya mwaka 2019,sasa ni nini kimetokea mpaka wakaenguliwa,sababu ni nini?
You are completely wrong and out of point.Wasimamizi wa katiba mzuri ni hao hao, kama wanaweza kusema katiba ni vikaratasi kuna Kazi, hapo issui sio katiba ,issue ni mfumo mbovu wa kukosa uwadilifu na uwajibikaji kwisha. Na hii sio ccm wala chadema, the Tanzania mzima .
Katiba ikiwa nzuri alafu viongozi sio waadilifu? What will happen? Ni kutoa baadhi ya vifungu ambavyo vinawazuia, mfano jpm,aliongeza, sheria ya kutowashitaki, WAZIRI mkuu, spika, na MAKAMU, amekuja mama, ameweka sheria ya tiss kutoshitakiwa. Je hapo ni katiba au tatizo ni viongozi kukosa uwadilifu?Y
You are completely wrong and out of point.
Katiba ya nchi katika nchi yoyote ile ya kidemokrasia huwa ni Mali ya wananchi wote katika nchi husika.
Katiba ikiwa nzuri alafu viongozi sio waadilifu? What will happen? Ni kutoa baadhi ya vifungu ambavyo vinawazuia, mfano jpm,aliongeza, sheria ya kutowashitaki, WAZIRI mkuu, spika, na MAKAMU, amekuja mama, ameweka sheria ya tiss kutoshitakiwa. Je hapo ni katiba au tatizo ni viongozi kukosa uwadilifu?
Kucheka na nyani lazima akuachie mabuaHayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
====
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Haina kubalance stori kama alifanya mabaya ya wazi lazima tusemeYapo aliyo fanya mazuri mkuu, nae alikuwa binadamu,, shida ni mfumo wa ccm wa kukaa kimya, na kuwa wanafiki,