Prof. Joseph Mbele atoa andiko kupinga kauli ya Dr. Mwakyembe

Prof. Joseph Mbele atoa andiko kupinga kauli ya Dr. Mwakyembe

Matusi ya nini tena? Wewe umetumia sense zako kusema Africa was weak ndio maana ikawa colonised, Kwa sense zako hizo ambazo unahisi ziko sawa sana ni Africa peke yake ndio walikuwa invaded?

Weakness ndio umeona sababu?

Puta madre..
Sijakutukana. Naona umeamua kunitukana kispanish. Mimi wala I dont care,for sure.
We are talking of Africa here.
 
You are not colonised because you are weak, ask China.

Also it was more of a trickery and lies than invasion.
You are weak,you can not resist and win the colonizers. Hivi umesahau how Africa was colonized ? Wapelelezi,missionaries n.k.Kama tungekuwa great tungeresist na kushinda. Africa has never being great. We have to accept that so we can make Africa Great.
 
Kumbe na wewe umeona eeeh. Prof mzima unavaa kofia imeandikwa make Africa Africa great again. Jamani. Halafu slogan hiyo si alikuja nayo Trump ? Prof mzima you cant even come with a slogan which is relative to Africa. When Africa was great so we can make her great again ?
Afrika was great, Soma historia ya Kemit, otherwise utakwama
 
You are weak,you can not resist and win the colonizers. Hivi umesahau how Africa was colonized ? Wapelelezi,missionaries n.k.Kama tungekuwa great tungeresist na kushinda. Africa has never being great. We have to accept that so we can make Africa Great.
Kwa haya uliyoandika, imeonyesha kuwa hujui kitu kuhusu afrika na historia ya afrika unayoijua ni ya kuanzia 1961, ila ukitaka ukuu wa afrika nenda kamsome hata Musamali, No more lies about Afrika, kamsome Cheik Anta Diop, Soma kuhusu Kemit, Nubia nk, utaelewa kitu
 
Wasome Wakuu wa Afrika uone kama haikuwa great, kina Tunkamanin, Mansa Musa, King Shaka, Nyayabingi(Jina ambalo rastafarians wanajiita) na wababe wengi ambao hauwezi kuwasikia kwenye historia yako ya darasani inayokupa hiyo sense kwamba afrika is weak.

Pia some Stolen Legacy,

Then nenda kamsome Anthropologist au Archaeologist yeyote unayemjua, awe mzungu au mweusi. uone jinsi afrika ilivyokuwa great
 
You are weak,you can not resist and win the colonizers. Hivi umesahau how Africa was colonized ? Wapelelezi,missionaries n.k.Kama tungekuwa great tungeresist na kushinda. Africa has never being great. We have to accept that so we can make Africa Great.
You just ignored my last line. It was more of trickery and lies than invasion.

When they came here, Pare were making their own iron tools, same to Congo. We had our own form of agricultural revolution. Uvinza had the technology of manufacturing salt, a once precious item only compared to gold in Europe.

We had our rulling system. We had our own education system, Ethiopians had arithmetic, letters and mathematic in their education system.

Stronger kingdoms existed, when they resisted Whites used guns which unsurprisingly weren't invented by them but China.

They made their way to the top through lies, tricks, loots and plundering...
 
You are weak,you can not resist and win the colonizers. Hivi umesahau how Africa was colonized ? Wapelelezi,missionaries n.k.Kama tungekuwa great tungeresist na kushinda. Africa has never being great. We have to accept that so we can make Africa Great.
Kwa hiyo wewe unapinga slogan ya Prof kuhusu Afrika kwa sababu ilikuwa colonized mbona Marekani nayo ilikuwa colonized hupingi?

Kapitie history kidogo kabla ya kuja kwa wakoloni Afrika ilikuwa ishapiga hatua kubwa kimaendeleo huwezi kujua kwa sababu ya kutoandikwa kwa hiyo kile kilichoandikwa kuwa Afrika lilikuwa bara la giza na blah blah zingine ni kutaka kuipotosha history na bahati mbaya wewe unaamini

Unafikiri kwanini wazungu waliharibu trade route, hujawahi kusikia kuhusu Iron technology unadhani iliishia wapi nk hayo yote yalikuwepo ila yaliuliwa kapitie history kidogo
 
Kwa hiyo Dr Mwakyembe akiwa na wazazi/walezi wake au hata kanisani kwake anakoabudu yeye ndiyo huwa mzungumzaji tu au huko kote huwa anakutana na wenye degree 4+?

Hizo majigambo wanayaweza wahaya tu yeye awe mpole tu, maana kipindi kile cha ugonjwa hao anaowadharau ndiyo waliomuombea sana apone leo analeta dharau
Inawezekana akawa hajapona na hiyo ni dalili mojawapo
 
Alikaimu cheo hicho baada ya aliekuwepo kufariki ghafla, aliefariki alikuwa anatubeba na kutupenda makuruta akisisitiza tusiteswe, alipoingia mzee baba mbele tulikiona kile wanachokiita cha mtema kuni.
 
Huyo Prof nilipoona kavaa kofia imeandikwa "Make Africa great again"Nimekata tamaa hata kusoma bandiko lake. Ingawa hata mimi nampinga Mwakyembe.
Can he tell us when Africa was great?Bora hata angesema make Africa great.
Soma historia kuhusu Egypt na Ethiopia hasa kuhusu mambo ya kale,kisha soma historia kuhusu nchi za kusini mwa Africa na Magharibi ya Africa.Ukishindwa basi soma hii sentensi fupi kisha uamini; Africa was once very great and powerful.
 
If it was great kweli ingekuwa colonised ? she was weak, that is why Africa was easily invaded.
Kwani hoja ni kuhusu weakness and strentgh au ni kuhusu greatness???!!!!Nahisi unahamisha goal posts hapa,unless unasoma comments ili ujibu na sio kujifunza kitu,ila kama una digirii zaidi y nne basi nawe ni walewale maana sie wa equivalent to digirii huna cha kutoamo.
 
Prof. Kashasema sisi Chaggadema tukae kimya
 
Kumbe na wewe umeona eeeh. Prof mzima unavaa kofia imeandikwa make Africa Africa great again. Jamani. Halafu slogan hiyo si alikuja nayo Trump ? Prof mzima you cant even come with a slogan which is relative to Africa. When Africa was great so we can make her great again ?
Hiyo slogan ni ya Ronald Regan in 1980 USA presidential campaign,huyu Trump just copied na sijasikia kwamba kuna ubaya kwenye kukopi.Alafu inawezekana uko'misinformed au hujui kabisa unachokijadili,si'ajabu hat huyu Prof Mbele mwenyewe humfahamu zaidi ya kumsoma humu jamvini.
 
Illusions za Afrocentrists hizo
Huyo Prof nilipoona kavaa kofia imeandikwa "Make Africa great again"Nimekata tamaa hata kusoma bandiko lake. Ingawa hata mimi nampinga Mwakyembe.
Can he tell us when Africa was great?Bora hata angesema make Africa great.
 
Hiyo slogan ni ya Ronald Regan in 1980 USA presidential campaign,huyu Trump just copied na sijasikia kwamba kuna ubaya kwenye kukopi.Alafu inawezekana uko'misinformed au hujui kabisa unachokijadili,si'ajabu hat huyu Prof Mbele mwenyewe humfahamu zaidi ya kumsoma humu jamvini.
Najua ni Ngwini. Namfahamu nilikuwa namsoma back then. Ila leo nilivyoona kavaa kofia imeandikwa Make Africa great again nikamuona hajielewi. Hana tofauti na wale wa slogan ya make Tanzania great again. Sijui hata lini Tanzania ilikuwa great. Kama tu Nyerere mwenyewe alifia kwa wakoloni St Thomas London Uingereza.
 
Kwani hoja ni kuhusu weakness and strentgh au ni kuhusu greatness???!!!!Nahisi unahamisha goal posts hapa,unless unasoma comments ili ujibu na sio kujifunza kitu,ila kama una digirii zaidi y nne basi nawe ni walewale maana sie wa equivalent to digirii huna cha kutoamo.
Kwani unakuwa great hivi hivi tu ? Kuna vitu vinahitaji ujasiri na maarifa unatakiwa uvifanye ili uwe great.Unafikiri unalala unaamka na kuwa great ? Growth yenyewe haipo natural unatakiwa ule na ujikinge na magonjwa ili ukue.
 
Back
Top Bottom