Sijakutukana. Naona umeamua kunitukana kispanish. Mimi wala I dont care,for sure.Matusi ya nini tena? Wewe umetumia sense zako kusema Africa was weak ndio maana ikawa colonised, Kwa sense zako hizo ambazo unahisi ziko sawa sana ni Africa peke yake ndio walikuwa invaded?
Weakness ndio umeona sababu?
Puta madre..
You are weak,you can not resist and win the colonizers. Hivi umesahau how Africa was colonized ? Wapelelezi,missionaries n.k.Kama tungekuwa great tungeresist na kushinda. Africa has never being great. We have to accept that so we can make Africa Great.You are not colonised because you are weak, ask China.
Also it was more of a trickery and lies than invasion.
Afrika was great, Soma historia ya Kemit, otherwise utakwamaKumbe na wewe umeona eeeh. Prof mzima unavaa kofia imeandikwa make Africa Africa great again. Jamani. Halafu slogan hiyo si alikuja nayo Trump ? Prof mzima you cant even come with a slogan which is relative to Africa. When Africa was great so we can make her great again ?
Kwa haya uliyoandika, imeonyesha kuwa hujui kitu kuhusu afrika na historia ya afrika unayoijua ni ya kuanzia 1961, ila ukitaka ukuu wa afrika nenda kamsome hata Musamali, No more lies about Afrika, kamsome Cheik Anta Diop, Soma kuhusu Kemit, Nubia nk, utaelewa kituYou are weak,you can not resist and win the colonizers. Hivi umesahau how Africa was colonized ? Wapelelezi,missionaries n.k.Kama tungekuwa great tungeresist na kushinda. Africa has never being great. We have to accept that so we can make Africa Great.
You just ignored my last line. It was more of trickery and lies than invasion.You are weak,you can not resist and win the colonizers. Hivi umesahau how Africa was colonized ? Wapelelezi,missionaries n.k.Kama tungekuwa great tungeresist na kushinda. Africa has never being great. We have to accept that so we can make Africa Great.
Kwa hiyo wewe unapinga slogan ya Prof kuhusu Afrika kwa sababu ilikuwa colonized mbona Marekani nayo ilikuwa colonized hupingi?You are weak,you can not resist and win the colonizers. Hivi umesahau how Africa was colonized ? Wapelelezi,missionaries n.k.Kama tungekuwa great tungeresist na kushinda. Africa has never being great. We have to accept that so we can make Africa Great.
Inawezekana akawa hajapona na hiyo ni dalili mojawapoKwa hiyo Dr Mwakyembe akiwa na wazazi/walezi wake au hata kanisani kwake anakoabudu yeye ndiyo huwa mzungumzaji tu au huko kote huwa anakutana na wenye degree 4+?
Hizo majigambo wanayaweza wahaya tu yeye awe mpole tu, maana kipindi kile cha ugonjwa hao anaowadharau ndiyo waliomuombea sana apone leo analeta dharau
[emoji115]Pr.mbele bila shaka atakuwa ndugu wa aliekuwa CO wa ruvu jkt (mkuu wa kambi)alikuwa mtata sana
Ilikuwa mwaka gani mkuu?Alikaimu cheo hicho baada ya aliekuwepo kufariki ghafla, aliefariki alikuwa anatubeba na kutupenda makuruta akisisitiza tusiteswe, alipoingia mzee baba mbele tulikiona kile wanachokiita cha mtema kuni.
Soma historia kuhusu Egypt na Ethiopia hasa kuhusu mambo ya kale,kisha soma historia kuhusu nchi za kusini mwa Africa na Magharibi ya Africa.Ukishindwa basi soma hii sentensi fupi kisha uamini; Africa was once very great and powerful.Huyo Prof nilipoona kavaa kofia imeandikwa "Make Africa great again"Nimekata tamaa hata kusoma bandiko lake. Ingawa hata mimi nampinga Mwakyembe.
Can he tell us when Africa was great?Bora hata angesema make Africa great.
Kwani hoja ni kuhusu weakness and strentgh au ni kuhusu greatness???!!!!Nahisi unahamisha goal posts hapa,unless unasoma comments ili ujibu na sio kujifunza kitu,ila kama una digirii zaidi y nne basi nawe ni walewale maana sie wa equivalent to digirii huna cha kutoamo.If it was great kweli ingekuwa colonised ? she was weak, that is why Africa was easily invaded.
Hiyo slogan ni ya Ronald Regan in 1980 USA presidential campaign,huyu Trump just copied na sijasikia kwamba kuna ubaya kwenye kukopi.Alafu inawezekana uko'misinformed au hujui kabisa unachokijadili,si'ajabu hat huyu Prof Mbele mwenyewe humfahamu zaidi ya kumsoma humu jamvini.Kumbe na wewe umeona eeeh. Prof mzima unavaa kofia imeandikwa make Africa Africa great again. Jamani. Halafu slogan hiyo si alikuja nayo Trump ? Prof mzima you cant even come with a slogan which is relative to Africa. When Africa was great so we can make her great again ?
Huyo Prof nilipoona kavaa kofia imeandikwa "Make Africa great again"Nimekata tamaa hata kusoma bandiko lake. Ingawa hata mimi nampinga Mwakyembe.
Can he tell us when Africa was great?Bora hata angesema make Africa great.
Najua ni Ngwini. Namfahamu nilikuwa namsoma back then. Ila leo nilivyoona kavaa kofia imeandikwa Make Africa great again nikamuona hajielewi. Hana tofauti na wale wa slogan ya make Tanzania great again. Sijui hata lini Tanzania ilikuwa great. Kama tu Nyerere mwenyewe alifia kwa wakoloni St Thomas London Uingereza.Hiyo slogan ni ya Ronald Regan in 1980 USA presidential campaign,huyu Trump just copied na sijasikia kwamba kuna ubaya kwenye kukopi.Alafu inawezekana uko'misinformed au hujui kabisa unachokijadili,si'ajabu hat huyu Prof Mbele mwenyewe humfahamu zaidi ya kumsoma humu jamvini.
Kwani unakuwa great hivi hivi tu ? Kuna vitu vinahitaji ujasiri na maarifa unatakiwa uvifanye ili uwe great.Unafikiri unalala unaamka na kuwa great ? Growth yenyewe haipo natural unatakiwa ule na ujikinge na magonjwa ili ukue.Kwani hoja ni kuhusu weakness and strentgh au ni kuhusu greatness???!!!!Nahisi unahamisha goal posts hapa,unless unasoma comments ili ujibu na sio kujifunza kitu,ila kama una digirii zaidi y nne basi nawe ni walewale maana sie wa equivalent to digirii huna cha kutoamo.