Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!
Mimi sijui nipoje.hawa maprofesa watz huwa siwaelewi kabsaaa...
Binafsi naamini katika "NCHI MOJA, WATU WAMOJA, SERIKALI MOJA" Hayo mambo ya serikali 3 yanatoka wapi!?!? watz hebu tuache kujitoa ufahamu. Prof Kabudi i salute you kama best Tanzanian graduate katika field ya sheria. Mambo gani hayo unafanya
complicative ina maanisha nini?Nipo namfatilia. Kwa jinsi anavyochambua hyo rasimu ya pili ya katiba ni ngumu sana kwa mwananchi wa kawaida kuielewa.. Too complicative..
Waziri mkaazi..!!??
Wat tha hell is this??
Sidhani kama hii ratiba ita restore amani inayopotea.
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo! UKITUKANA BILA HOJA HAIRAIDII.
Wavivu wa kufikiri na kusoma wamejaa matusi vinywani mwao.Mchangiaji mwenye matusi hajasoma rasimu kasikia tu kwa watu wengine ni wakumsamehe tu uvivu wa kufikiri na kuchambua hoja unamsumbua.
Inaelekea tumejawa na hofu ya serikali tatu bila sababu za kutosha. Suala ni serikali tatu si mataifa matatu kwa maana ya sovereign states. it will be just as organizational structure under one country Tanzania, labda kama alivoshauri Ulimwengu neno rais libadilishwe maana ni zito sana tutafute lingine labda gavana. ikiwa akili zetu zitajiandaa kwa maana hii tutadumu. tatizo naloliona ni wakati wa bunge la majadiliano ikiwa wengi watasukumwa na hofu ya serikali tatu basi hatari yake ni kubwa kupita kiwango! kwa wale waliotahiriwa watajua hofu iayompata kijana kabla ya tendo lakini tendo lenyewe ni jema likikamilika ni ushujaa. Hata hili la katiba linawatia hofu watu lakini likikamilika tutakuwa mashujaa na JK atatoka kidedea na atakumbukwa kwa ushujaa.Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo! UKITUKANA BILA HOJA HAIRAIDII.
Hapo kwenye red haikubaliki! Mtawala wa Tanganyika, taifa lile kuu, hatapigiwa mizinga 21? Tukatae ujinga huu, Kiongozi wa Tanganyika lazima apate heshima anayostahili; Tanganyika ndiyo itakayolisha muungano kwa kila kitu, kuanzia watoto kwenda chooni hadi ulinzi dhidi ya maadui wa nje - halafu nini? Sielewi!
Mkuu nafarijika sana nikiona wanaoamini katika serikali moja kama mimi., nilipendekeza iwe hivyo ila ndo basi tenaNi kweli . Muungano wa kweli ni wa serikali moja. Hatujafikia hapo kwa bahati mbaya Bali ni matokeo ya usaliti, ubaguzi na unafiki wa viongozi waliopewa dhamana kutuongoza, ambao kwa miaka mingi wameshindwa kusoma hisia na matakwa ya wananchi, hususan, wasio na sauti.
Mkuu unadhani zanzobar wange/watakubali serikali moja? Never over my dead body! Wametumia busara sana wazee hawa kuamua serikali tatu
Prof asitubabaishe na dhana ya ushirikina .Serekali tatu za rasimu ni bomu.Prof aelezeAnaendelea na kipindi now. Anasema baadhi ya watu wanaona serikali mbili kama ushirikina au dogma ya kila kitu katika tanzania kitu ambacho sio sahihi
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!
Marekani wana serikali 53, 52 za states na 1 serikali kuu. Kila state ina mtawala mwenye mamlaka kamili, katiba inayoongoza state, senator, congress na bendera yake. Wana bajeti yao na kuna baadhi ya shughuli za uchumi katika kodi kuchangia serikali kuu. Kama hao wameweza nchi moja kuwa na serikali 53, kwa nini tushindwe kuwa na serikali tatu?
UK nako wana serikali kadhaa ikiwemo ile ya Scotland, Ireland, na England.
Miaka nenda rudi wanaendesha shughuli zao vizuri tu na wameweka taratibu ambazo hazileti migongano na mambo ni poa kabisa, nini tatizo wabongo tushindwe wakati Zanzibar tayari wameshafanikiwa na tumebaki watanganyika tu?