Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
anaeamini serikali 3 sidhani kama yupo sawa kichwani...
Wizi mtupu!!!
Na wanaoamini serikali 2 or 1 kichwani wakoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaeamini serikali 3 sidhani kama yupo sawa kichwani...
Wizi mtupu!!!
Na wanaoamini serikali 2 or 1 kichwani wakoje?
Wanaoamini serikal 1 ndio wapo sawa kichwani... "SERIKALI MOJA, NCHI MOJA, WATU WAMOJA"
Mkuu swala la ulinzi na usalama ni.la muungano hivyo amiri jeshi mkuu ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na huyo ndie pekee anayeatahili 21 gun salute! Hata leo Rais wa smz hapigiwi mizinga 21 bali 19 sababu yeye sio amiri jeshi mkuu
Mkuu naamini mizinga haipigwi hata na Polisi bali JWTZ manaa hilo ndilo Jeshi la Ulinzi na linalotumia silaha za mizinga. KMKM, Polisi, Magereza wao hawana mizinga katika silaha zao na ndio maana wakiwa katika gwaride la peke yao huwa hawapigi mizinga asilani, ukisikia mizinga inapigwa basi jua kuwa JWTZ wapo na Bosi wao ni Amiri Jeshi mkuu ambaye kwa mujibu wa katiba mpya na hata ya sasa ni Rais wa Muungano.Hata KMKM hawampigii Rais wao mizinga 21?.,si ana mamlaka ya ku-command "majeshi" ya "nchi" ya Zanzibar?
Serikali moja kila kitu, kama wazenj hawataki kuiua zenj yao waondoke watuache na Tanganyika yetu, hizi serikali tatu zitaleta more confusions
Mkuu nakupata vizuri tu!
But nahisi hali halisi unaiona mwenyewe!
Labda nikupe hints:
Wazanzibar wamekataa serikali mbili ili wawe na mamlaka kamili,
...
Watu wenye akili kama kina Warioba wakapendekeza serikali 3 ili kubalance interests za pande mbili, hatua hiyo bado Wazanzibari wanataka pesa yao, jeshi lao, uraia wao na vyenginevyo!
...
Afu bado unasema wanaosema serikali moja wako sawa! Kwa lipi?
Kwa kuvunja muungano au?
...
Mkuu weka ushabiki pembeni afu ufikirie vizuri!
wizi mtupu!!!
Na wanaoamini serikali 2 or 1 kichwani wakoje?
If possible muungani uvunjike tuu.. hatuna uwezo, wala uchumi wa kuhudumia serikali Tatu. Nchiyetu bado inavipaumbele lukuki.
Kama hawataki Moja, absolutely hao hawataki MUUNGANO. Sasa kwanini bara ndio tuwe kimbelembele.
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!

serikali moja ndio mpango mzima. Serikali mbili haifai kabisa. Haiwezekani Zanzibar iendelee kuishi wakati Tanganyika imekufa.
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!
Punga nasikia ni baba ako, muulize mama ako kama mm pungawe punga kwel
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!