Kawachamba halafu kawashikisha Serikali na Bunge zima mikono na kuwaapisha huku wakijikuta wanasimama wenyeweer! Prof. Kabudi ni noma...
''Kenya is the economic engine of East Africa.''- Prof. Kabudi.Sijui kama mmesikia na hiyo pia? Sasa kwasababu msomi wenu na baba yenu ameyasema hayo, hamna budi ila kukoma kabisa kukesha kwenye jukwaa hili mkitema mipovu na kutanua misuli yenu ya utapiamlo.Umewaona wale viongozi wakuu pale jukwaani, wamekaa wamelowa utafikiri wanafungishwa ndoa na padri.
Aliyowaambia wakiyafuata kenya itasonga mbele sana katika ukanda huu.
Aa wapi hajamaanisha ile ya GDP ya $99 bln bali ya less than $75 bln!''Kenya is the economic engine of East Africa.''- Prof. Kabudi.Sijui kama mmesikia na hiyo pia? Sasa kwasababu msomi wenu na baba yenu ameyasema hayo, hamna budi ila kukoma kabisa kukesha kwenye jukwaa hili mkitema mipovu na kutanua misuli yenu ya utapiamlo.
wote ni lawyers ila lumumba msitatri mwingine ule!!Kamwe hawezi kulingana na Lumumba wa hukohuko Kenya
Tanzania mmefikia hata hiyo $75 bln, achilia mbali GDP ya Kenya ya $99bln? Narudia tena, ''Kenya is the ECONOMIC ENGINE of East Africa''. Sio maneno yangu, ni ya Kabudi, ambaye ulikuwa unamshabikia dakika chache zilizopita ukisema kwamba amewachamba wakenya. πAa wapi hajamaanisha ile ya GDP ya $99 bln bali ya less than $75 bln!
Hapana walikua wanamwangalia Kabudiyani leo Tanzania nzima ilikuwa inatazama televisheni za Kenya??Duuuuh
Nimemnukuu Kabudi, mada iliyopo mezani ni kuhusu hotuba yake. Hujaitizama hiyo video, sanasana hapo aliposema kwamba Kenya is the economic engine of East Africa?Hujaeleweka ulichoongea. maana mada iliyoko mezani ni BBI - Kenya.
Ina maana hajaona na kusikia mada za msingi Kabudi alizozizungumza au hiyo kwake ndio kitu cha maana, hawa jamaa wana akili fupi mnoo πππWhat was the theme of that gethering? usilete ubishi wa kitoto. π π π
Mimi nimemnukuu tu. Ubishi wa kitoto ni kama huu hapa chini, wa kuingiza hadithi za ndoa na padre kwenye 'gethering' ya kujadili mambo ya maana.What was the theme of that gethering? usilete ubishi wa kitoto. π π π
Umewaona wale viongozi wakuu pale jukwaani, wamekaa wamelowa utafikiri wanafungishwa ndoa na padri.
Aliyowaambia wakiyafuata kenya itasonga mbele sana katika ukanda huu.
Kuna uzi ulitembea kutujulisha juu ya huo Mchakato wa BBI na ulikuwa Citizen TV kama hukutaka kuangalia usisumbue watuTuwekee video yake akiongea hayo ndio tutakuamini. Otherwise, ni blahblah tu