Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

BBI haikua juu ya ukabila bali juu ya demokrasia yenye inclusion ya kila.mtu
Simwelewagi kabudi lakini speech yake ilikuwa nzuri kwa kiasi fulani..tuache kuwa negative sana

Kuhusu demokrasia nadhani hakupaswa kuingia huko maana hata sisi TZ tuna hali mbaya..ila kuhusu Tribalism kaongea vizuri tu
 
binafsi najiuliza ivi ni kweli BBI ndio muarubaini wa Ukabila katika nchi ya Kenya ? au BBI itapunguza gharama za serikali ? issue ya IEBC kwa issue ya ukabila naipa asilimia ndogo sanaaa sababu bado haita adress mzizi wa ukabila ndani ya kenya ... political admistation ndio watafanikiwa zaidi sababu naona hapa wanakwenda kutengeneza mihimili 3 ya dola ss iliyokamilika katika uchaguzi wa KIBRA tuliona issue ya HAND SHAKE ilivyoleta mtazamo tofauti baina ya wabunge ndani ya Jubilee
 
Huyo si mwana ccm kama wewe.. soma hapo chini kama kizingu kinapandaView attachment 1274658

Mimi kama ni uanachama ni conservative na kura hii siku vote
Akili yako inakuonyesha kila anaechangia mada ni wa huko

Pole sana mimi wala simjui ila speech nimeisikiliza vizuri
Hebu tembelea kidogo Twitter na uandike “kabudi speech”
Uone wakenya walivyojimwaga huko lakini kama ‘kizingu’ kinapanda
 
Tuwekee video yake akiongea hayo ndio tutakuamini. Otherwise, ni blahblah tu
Wewe kila kitu unataka video? Kwa hiyo uelewa wa kawaida tu bila video huna. Duuuh bado tuna safari ndefu sana
 
Nimesoma hii report ta BBI (Building Bridges Initiative) iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana.

Kwa wasiojua hii ilikuja baada ya "handshake" kati ya Uhuru na Odinga, ambayo imemuingiza Odinga kiaina Serikalini, na kweli Kenya zile kashkash za Odinga zikapoa na joto la kisiasa likapoa.

Sasa walikuwa wakisema hii itatatua tatizo la vurugu baada ya uchaguzi, ambalo linakumba nchi nyingi za Afrika na Kenya ikiwamo.

Sasa sijaona itatatua vipi, wakati bado Rais atapigiwa kura vilevile, kumbuka uchaguzi wa urais ndio unaoleta utata sana.

Sasa hawajasema huyo mtu atakayekuwa mpinzani mkubwa wa Rais kwenye uchaguzi atapewa nafasi gani ili kumtuliza asikinukishe.

Nimesoma kutakuwa na Waziri Mkuu anayeteuliwa na Rais na kuidhinishwa na Bunge, na kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani, ambayo ni kama Bongo tu, ambavyo hivi sioni vitaepusha vipi post election crisis.
 
Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
Unaongea na wakenya au unaongea na simu?
 
Nani kafurahishwa.. kama sio wana ccm kama.weww
Jamani kwani kuwa CCM ni dhambi yaani wewe unataka kila mtu awe CDM akizungumza ndo utafurani? Ama kwrli mtu akipenda chongo huita kengeza.
 
Tabutupu,
Aisee clip yake huko mitandaoni inasambaa kwa kejeli balaa.. Jamaa leo ameamua kuwa muhubiri kabisa. Hili povu la kinafiki la Kabudi nalikemea kwa nguvu moja. Ashindwe kama alivyowaambia wakenya washindwe!
 
Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
Nadhani kwa sababu fani yake ni kama ya tundu lisu ,hivyo wanajaribu kumlinganisha kwa kila jambo analofanya, cha pili anaweza pia kuwa attacked kutokea ndani kuliko hata wapinzani na vigumu kusema nyuma ya keyboard yupo nani tatu kwa sasa ukiwa na uwezo unaweza ajiri vijana kadhaa na wakawekeza ku atack kutumia social network vijana 20 kila mmoja akiwa na majina bandia kumi hao tayari ni watu mia mbili kwenye mtandao thread kumi kwenye jamiiforums kukuhusu ni nyingi sana kukuharibia jambo lolote
 
Tatizo lipo kwako..hata kipofu hajui kama kuna watu wanaona.

You started attacking me again, ur shifting your missiles striking me, narudia Kabudi kafanya vizuri watch that U-tube, do you have personal enmity with Kabudi?
 
Tabutupu,
Inaonekana wewe unapenda kusifia sana watu wengine, jitizame hayo mapungufu yako yanatokana na nni, uwezo wako wa uelewa, au husuda na uchawi moyoni mwako. Ukitaka kujua utwambie kenya uchaguzi ulioisha na marudio yake watu wangapi walikufa na tz walikufa wangapi kisha ndio uje na sifa hizo.
 
Back
Top Bottom