the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
Well said mkuu! 100% trueNadhani kwa sababu fani yake ni kama ya tundu lisu ,hivyo wanajaribu kumlinganisha kwa kila jambo analofanya, cha pili anaweza pia kuwa attacked kutokea ndani kuliko hata wapinzani na vigumu kusema nyuma ya keyboard yupo nani tatu kwa sasa ukiwa na uwezo unaweza ajiri vijana kadhaa na wakawekeza ku atack kutumia social network vijana 20 kila mmoja akiwa na majina bandia kumi hao tayari ni watu mia mbili kwenye mtandao thread kumi kwenye jamiiforums kukuhusu ni nyingi sana kukuharibia jambo lolote
na ndio hasa kinachoendelea humu,membe hakuvunja kikosi chake yeye na uncle wake.
wale vijana waliokuwa wakishindana kuweka likes wakati wa mchuano wa ndani wa ccm,wenzake waliyavunjilia mbali baada ya uteuzi kukamilika ila huyu alikuwa na bado ana ndoto za kuukwaa urais.
sasa vijana wzke wanafanya attack kwa kila mtu ndani ya ccm anayeonekana ku fit na kuifanya taswira ya JPM iimarike.
basi huyo anaundiwa section humu JF.
ukiongeza na hawa wengine wa makundi ya mbowe na zitto na wale wadada wakosa fursa kina sarungi na Fyatu basi inakuwa shida kabisa ujinga ukinga ujinga.