Kaongea mambo ambayo hana. Hana sababu ya kuwadhauri wakenya kwa sababu nchi yake kwa sasa ni ya kibaguzi kiliko nchi yoyote east africa.I want to categorically state that I listened prof Kabudi speak to Kenyan and through out his speech he spoke well like a stateman.
Prof. Kabudi amezungumza vizuri sana amesisitiza umoja, amani, na mshikamano miongoni mwa watu wa Kenya, wanasiasa na viongozi. Amesema ukabila umezalisha rushwa. Amezungumzia ungwana wa rais Kenyatta na Raila Odinga. Amezungumza kuhusu Nyerere kutokufa kwa ajili ya wema wake. Yote aliyoyazunmza ni mema tu. Sijaona neno bays aliotia kwenye mazungumzo yale. Hivyo acheni kuabambikizia watu mabaya Mungu hapendi
Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
Lakini anashangaa, vipi watu ambao wamajitahidi kuwa na uwezo huo lakini bado wamefungwa minyororo ya utumwa wa ukabila. Lengo lake ni kutaka kuwaambia kwamba, watanzania tunawashangaa wakenya kwa kuendeleza ukabila katika karne hii,Ngoja eliakeem na Geza Ulole wakuskie, ole wako, watakutupia matusi ya ki aeiou na abcd. Kama, ngamia wewe! [emoji23]
Watakuwa wametumwa na mzungu mkulima hao! Kwi kwi kwi!Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
Hizo zilikuwa dili za watu, mkulima ni kisingizio tuu, ndiyo maana Magu aliamua kuacha kulipa. We unafikiri pesa za kufanya miradi yote hii anayoifanya zinatoka wapi?
Jamaa amekata mirija mingi ya wizi, watu wanahasira nae, wanashindwa kumzuia nchini kwakuwa yeye ndiyo mwenye dola hivyo wanatafuta soft target kumhujumu.
Mheshimiwa amewapa vidonge jamaa wamevikubali kiaina Ila, Kubadilika na kufuata walioambiwa ni maamuzi yao wenyewe, Yafaa nao waje watupe vyetu,Lakini anashangaa, vipi watu ambao wamajitahidi kuwa na uwezo huo lakini bado wamefungwa minyororo ya utumwa wa ukabila. Lengo lake ni kutaka kuwaambia kwamba, watanzania tunawashangaa wakenya kwa kuendeleza ukabila katika karne hii, " Kenya is a primitive country"
Kabudi anaishauri nini kenya wakati mwenyewe hana uhuru wa kuongea kwenye nchi yake.Wewe maneno ya kabudi yamekuuma kuliko hata wakenya wenyewe, lakini alialikwa kwenda kutoa ushauri na maoni hata kama wewe umemuona Hana la kuwashuri Kenya , Kenya wameona analo lakuwashuri thus why alialikwa.
vichwa panzi wamejaa chuki za kisiasa sana. prf kabudi ameongea speech nzuri sana, jamaa ana akili sana tutake tusitake anaweza kuwa na mapungufu ambayo kila mtu anayo...
Na hicho ndio kilikuwa cha muhimuKwanza Prof Kabudi alikaa meza kuu pamoja na Rais Uhuru, DP Ruto, Waziri mkuu mstaafu Raila na Prof Hajji Mwenyekiti wa BBI
Pili, Prof Kabudi alishangiliwa na waalikwa wote kila alipoonge
Na tatu au muhimu zaidi Prof Kabudi amewalisha kiapo cha kuukataa ukabila na siasa za madaraka wakenya wote waliokuwepo mkutanoni!
Kwa hiyo we ulitaka aongelee nini kwa mazingira yale au ulitaka aongelee Tanzania.Soma hapa.View attachment 1274887
Siku upinzani ukisusa uchaguzi nchi za Burundi, Rwanda na Uganda. Halafu itokee viongozi wa upinzani wahamasishe watu wasiende piga kura badala ya serikari zao kuwabembeleza vyama tawala vitafanya party maana huo ndio ushindi wanaoutaka isingekuwa pressure za siasa za kimataifa.Kwa hali ilivyo sasa Tanzania, siwezi kamwe kuishutumu Kenya kwa mtindo wao huo wa ukabila, ambao ni mbaya, lakini mtindo wetu wa sasa ni mbaya mara dufu.
Sisi na Burundi, Rwanda na Uganda hatuna nafuu yoyote ya kuwadharau Kenya na ukabila wao.
Unaongea kana kwamba hao wapinzani sio Watanzania.Siku upinzani ukisusa uchaguzi nchi za Burundi, Rwanda na Uganda. Halafu itokee viongozi wa upinzani wahamasishe watu wasiende piga kura badala ya serikari zao kuwabembeleza vyama tawala vitafanya party maana huo ndio ushindi wanaoutaka isingekuwa pressure za siasa za kimataifa.
Yes Tanzania kuna mapungufu lakini uwezi fananisha na huko, ata hilo tamko la marekani linaongelea wasiwasi wa mchakato tu lakini kamwe awawezi sema lingine kama kuzuia ushiriki kikamilifu maana serikari ilirudisha wagombea wote na hakuna aliezuiwa kufanya campaign.
Wasuse tena na mwakani