Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

MK254,
Hizo zilikuwa dili za watu, mkulima ni kisingizio tuu, ndiyo maana Magu aliamua kuacha kulipa. Wewe unafikiri pesa za kufanya miradi yote hii anayoifanya zinatoka wapi?

Jamaa amekata mirija mingi ya wizi, watu wanahasira nae, wanashindwa kumzuia nchini kwakuwa yeye ndiyo mwenye dola hivyo wanatafuta soft target kumhujumu.
 
Haya yote mliambiwa na Kikwete wakati wa kusuluhisha vurugu za 2008, mlielewa vizuri sana na mkaweka kiti cha PM, jamba la kushangaza na kusikitisha ni kwamba uchaguzi uluofuata mkaifuta hiyo nafasi, sasa hivi mnataka kuirudisha tena. Tatizo lenu Kenya hamjui nini mnataka, ninyi mnalenga watu zaidi kuliko nchi, hata hili pia mtalibadilisha tena.
 
I want to categorically state that I listened prof Kabudi speak to Kenyan and through out his speech he spoke well like a stateman.

Prof. Kabudi amezungumza vizuri sana amesisitiza umoja, amani, na mshikamano miongoni mwa watu wa Kenya, wanasiasa na viongozi. Amesema ukabila umezalisha rushwa. Amezungumzia ungwana wa rais Kenyatta na Raila Odinga. Amezungumza kuhusu Nyerere kutokufa kwa ajili ya wema wake. Yote aliyoyazunmza ni mema tu. Sijaona neno bays aliotia kwenye mazungumzo yale. Hivyo acheni kuabambikizia watu mabaya Mungu hapendi
Kaongea mambo ambayo hana. Hana sababu ya kuwadhauri wakenya kwa sababu nchi yake kwa sasa ni ya kibaguzi kiliko nchi yoyote east africa.

Nadhani watanzania tunatatizo la kushindwa kutofautisha thamani ya what we get and what we deserve?

Pia Watanzania tumejengewa hofu hadi kutetea mambo ya hovvyo.

Kuonewa ni sehemu ya maisha y watanzania ndio maana mnamshukuumry Rais Hata kwa kupona kwenye ajali.
 
Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?

Kumchukia mtu bila sababu si vema.

Lakini kumuacha mnafiki aendelee kunafiki ni wendawazimu.
 
Ngoja eliakeem na Geza Ulole wakuskie, ole wako, watakutupia matusi ya ki aeiou na abcd. Kama, ngamia wewe! [emoji23]
Lakini anashangaa, vipi watu ambao wamajitahidi kuwa na uwezo huo lakini bado wamefungwa minyororo ya utumwa wa ukabila. Lengo lake ni kutaka kuwaambia kwamba, watanzania tunawashangaa wakenya kwa kuendeleza ukabila katika karne hii,
 
Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
Watakuwa wametumwa na mzungu mkulima hao! Kwi kwi kwi!
Wanashirikiana na mabeberu hao!
 
Hizo zilikuwa dili za watu, mkulima ni kisingizio tuu, ndiyo maana Magu aliamua kuacha kulipa. We unafikiri pesa za kufanya miradi yote hii anayoifanya zinatoka wapi?

Jamaa amekata mirija mingi ya wizi, watu wanahasira nae, wanashindwa kumzuia nchini kwakuwa yeye ndiyo mwenye dola hivyo wanatafuta soft target kumhujumu.

Hauachi kulipa deni kibabe bila kufuata mikakati ya kisheria, na ndio mnaona mkulima anaishia kuwa na hoja hata mkienda wapi lazima atasklizwa. Deni ulikua unalipa, kama unataka kuacha, lazima utumie sheria sio ubabe, hii sasa ndege ya tatu kukamatwa, hamjifunzi kitu.
 
Tabutupu,
Wewe maneno ya kabudi yamekuuma kuliko hata wakenya wenyewe, lakini alialikwa kwenda kutoa ushauri na maoni hata kama wewe umemuona Hana la kuwashuri Kenya , Kenya wameona analo lakuwashuri thus why alialikwa.
 
Mheshimiwa amewapa vidonge jamaa wamevikubali kiaina Ila, Kubadilika na kufuata walioambiwa ni maamuzi yao wenyewe, Yafaa nao waje watupe vyetu,
Lakini anashangaa, vipi watu ambao wamajitahidi kuwa na uwezo huo lakini bado wamefungwa minyororo ya utumwa wa ukabila. Lengo lake ni kutaka kuwaambia kwamba, watanzania tunawashangaa wakenya kwa kuendeleza ukabila katika karne hii, " Kenya is a primitive country"
Mheshimiwa amewapa vidonge jamaa wamevikubali kiaina Ila, Kubadilika na kufuata walioambiwa ni maamuzi yao wenyewe, Yafaa nao waje watupe vyetu,

Tukanyane sisi wenyewe kabla hawajafanya hivyo wakubwa kutoka mataifa ya mbali!!
 
Wewe maneno ya kabudi yamekuuma kuliko hata wakenya wenyewe, lakini alialikwa kwenda kutoa ushauri na maoni hata kama wewe umemuona Hana la kuwashuri Kenya , Kenya wameona analo lakuwashuri thus why alialikwa.
Kabudi anaishauri nini kenya wakati mwenyewe hana uhuru wa kuongea kwenye nchi yake.

Mbona kabudi yule wa katiba ya warioba hatumwoni?

Si aongee aone kama hatapotea?
 
Prof Kabudi ameongea speech nzuri sana, jamaa ana akili sana tutake tusitake anaweza kuwa na mapungufu ambayo kila mtu anayo.
 
Wakuu baada ya mgawanyiko kuhusu hotuba ya Prof kabudi kenya, ni vyema tukapata maoni ya wengi katika njia sahihi ya kukusanya takwimu

naamini takwimu hizi zitamuwezesha yeye mwenyewe kijitathmini sabababu naamini yeye na maboss wake hupita humu
 
Swala ameongea kinafiki. kwanini asiongee hayo akiwa Tanzania.

Mfano.. anashauri vyama vya siasa hasa vyama tawala kutokumbatia madaraka na kusahau vyama vya upinzani wakati Nchi yake chama kinacho ruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa ni kimoja tu.

Angekubali tuu kwamba amekuja kenya kujifunza na somo la BBI atalifikisha kwa bosi wake na yeye afanye kama kenyatta.
vichwa panzi wamejaa chuki za kisiasa sana. prf kabudi ameongea speech nzuri sana, jamaa ana akili sana tutake tusitake anaweza kuwa na mapungufu ambayo kila mtu anayo...
 
Kama ilivuka mipaka, Kwanini asingelalamika Kenyatta na alikuwepo unakuja kulalamika huku nyuma ya 'kibodi'?

Ulitaka Kabudi azungumze nini ili asivuke mipaka? kwa mawazo hayo mgando hakika umenisikitisha sana na zaidi naisikitikia nchi yenye rasilimali za kila namna lakini majirani zetu ndio wanazitumia. Prof. Kabudi ni moja ya rasilimali hizo
 
Kwanza Prof Kabudi alikaa meza kuu pamoja na Rais Uhuru, DP Ruto, Waziri mkuu mstaafu Raila na Prof Hajji Mwenyekiti wa BBI

Pili, Prof Kabudi alishangiliwa na waalikwa wote kila alipoonge

Na tatu au muhimu zaidi Prof Kabudi amewalisha kiapo cha kuukataa ukabila na siasa za madaraka wakenya wote waliokuwepo mkutanoni!
Na hicho ndio kilikuwa cha muhimu
 
Kwa hali ilivyo sasa Tanzania, siwezi kamwe kuishutumu Kenya kwa mtindo wao huo wa ukabila, ambao ni mbaya, lakini mtindo wetu wa sasa ni mbaya mara dufu.
Sisi na Burundi, Rwanda na Uganda hatuna nafuu yoyote ya kuwadharau Kenya na ukabila wao.
Siku upinzani ukisusa uchaguzi nchi za Burundi, Rwanda na Uganda. Halafu itokee viongozi wa upinzani wahamasishe watu wasiende piga kura badala ya serikari zao kuwabembeleza vyama tawala vitafanya party maana huo ndio ushindi wanaoutaka isingekuwa pressure za siasa za kimataifa.

Yes Tanzania kuna mapungufu lakini uwezi fananisha na huko, ata hilo tamko la marekani linaongelea wasiwasi wa mchakato tu lakini kamwe awawezi sema lingine kama kuzuia ushiriki kikamilifu maana serikari ilirudisha wagombea wote na hakuna aliezuiwa kufanya campaign.

Wasuse tena na mwakani
 
Unaongea kana kwamba hao wapinzani sio Watanzania.

Siasa za kidikteta mlizo zibatiza kama za maendeleo ni za kishamba kwa dinia ya leo.

Ethipia wameachana nazo bada ya kuona hakuna kinacho endelea zaidi ya raia wao kuendelea kuwa wahamiaji haramu.

Kenya ipo vizuri kiasiasa kuliko Tanzania kwa mbali sana na Africa Mashariki inaongoza.

Burundi na Tanzania zinatafuta chimbo la kidikteta
 
Tabutupu,
Faida za kususia uchaguzi zitakuwa ni zipi kwa upinzani? na wanazipimaje zaidi ya kutaka sympathy.

Yes watu walitaka kuleta uonevu, viongozi wao (wa upinzani) wakatoa pressure: serikari ika backdown na kusema wote warudishwe.

Huko kwengine wakipiga kelele za uchaguzi ni kwamba hizo nchi vyama vya pinzani aviruhusiwi kupiga campaign kabisa au kwa shida kweli.

Wewe unabembelezwa halafu unadengua mbele ya jumuiya ya kimataifa ukitegemea sympathy baadae hakuna atakae kuhurumia.

Labda kama unasusa baadae unalengo la kukinukisha mtaani, lakini ususe halafu huna agenda nyingine imekula kwako no one cares.

Halafu usiniusishe na siasa za party affiliations
 
Back
Top Bottom