Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa hovyo sana. Kwa hiyo serikalii iendelee kuumiza raia wake na isikemewe? Haya sawa mkuu.Tatizo lako ni moja....
Unataka niwasikilize wabunge wa EU na kuwaelewa kama unavyotaka wewe.
Nimsikilize Kabudi kisha nimwelewe kama unabyotaka wewe. Demokrasia ipi mnahubiri mkuu?
Bado naenda na msimamo wa waziri...utu wa taifa langu unakuja kwanza..
Swadakta, ndiyo maana EU wakaenda mbele zaidi na kuazimia azimio mtambuka halikwepeki "ukisema nchale, ukikaa nchale, ukikimbia nchale" kifupi suala la Haki za binadamu halina 'msalie mtume' kwa EU Umoja wa Ulaya:Hata kama Tanzania ni sovereignty country lakini likija swala la uvunjaji wa haki za binadamu sovereignty inakuwa over rode, hamuwezi kuumiza watu kwakua nyinyi ni sovereignty country.
Lbda mnaumizwa kijijini kwenu mkuu...sisi huku kila siku tunaenda machungani wanaoumizwa wavunja sheria tena kwa nadra saana.Wewe jamaa hovyo sana. Kwa hiyo serikalii iendelee kuumiza raia wake na isikemewe? Haya sawa mkuu.
😂😂😂😂Kuwa na degree 1, 2 au 3 haiondoi ujinga kama una njaa, hawa maprofesa wa Tz wanadhihirisha hilo
kama ungepata nafasi ya kujua mm ni nani nadhani ungefuta hii comment
Huu "ubabe" wa kuongea na wafanyakazi wa wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, siyo ubabe wa kweli toka hapo wizarani ukifuatana na waandishi wa kimataifa kwenda kuelezea msimamo usioterereka wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba 2020 dunia na wadau wa maendeleo wakusikie.
Hii style ya kujifungia umejitenga kimataifa ndani ya jengo lako la wizara lenye madirisha ya nondo na kuwaeleza mabeberu waliopo nje 'hatuwaogopi' haina mashiko.
Wewe jamaa ungekuwa karibu ningekukata bonge la kofi. Watu waliokufa Zanzibar picha zake hukuziona? Kura fake zinazotaka kutusababishia kuharibu uhusiano na wahisani wa maendeleo hukuziona? Hasara kweli kuwa na vijana wa namna hii!Lbda mnaumizwa kijijini kwenu mkuu...sisi huku kila siku tunaenda machungani wanaoumizwa wavunja sheria tena kwa nadra saana.
Sasa mkuu kuliko kunipiga si ungeandamana ile siku kumaliza hasira zako?Wewe jamaa ungekuwa karibu ningekukata bonge la kofi. Watu waliokufa Zanzibar picha zake hukuziona? Kura fake zinazotaka kutusababishia kuharibu uhusiano na wahisani wa maendeleo hukuziona? Hasara kweli kuwa na vijana wa namna hii!
Soma chote nilichoandika. Kuna watu kuuawa kwa kupigwa risasi, kuna mabegi ya kura fake. Mbona hucoment kuhusu haya?Sasa mkuu kuliko kunipiga si ungeandamana ile siku kumaliza hasira zako?
Hii kauli imeshalitumbukiza taifa gizani.“A few hooligans in the EUparliament Foreign Affairs Committee.” - Palamagamba.
Kwa mwana diplomasia hii ni Lugha chafu kuwaita wawakilishi wa kamati ya bunge wahuni wachache.“A few hooligans in the EUparliament Foreign Affairs Committee.” - Palamagamba.
Ukila na kipofu usimshike mkonoHongera zake.
Watu wanauana kila kukicha Duniani sio Tanzania tu... na hili mnasababisha wenyewe wapiga mayowe....mnainfluence vijana wasio na hili wala lile na kuwaaminisha yasiyokuwepo.....Soma chote nilichoandika. Kuna watu kuuawa kwa kupigwa risasi, kuna mabegi ya kura fake. Mbona hucoment kuhusu haya?