Ipeleke twitter, wao nao safari hii wamejipanga kujibu kila eneo.
Katibu mkuu jumatatu ilopita ametoa semina kwa wabunge Dodoma ya nguvu sana jamaa ameiva sana.
Nilitaka kumaanisha yeye anafahamu sheria si amesomea na kuja kuwa mwalimu?
All in all, yeye ameongea na kama EU watajibu basi twangojea hio.
Kama hao wahuni wachache wataendelea kuongea huko mitandani pia tuvute subira.
Thubutu, hasira zao huwa zinaishia JF na Twitter tu tofauti na hapo hamna kitu
Kukaa kimya ni kama wanakubali huo upuuzi unaongelewa, ni vyema kuwajibu mapema kila mtu aelewe ukweli, kuendelea kuacha upande mmoja tu kuongea ni ujinga, acha serikali na wao kujibu mashambulizi na kutoa ufafanuzi, kwa nini wapenzi wa CDM hawafurahii kuona serikali ikitoa ufafanuzi na kujibu upotoshaji?
Nadhani Kabudi hana kumbukumbu sahihi. Tanzania hatujawahi kushinda kwenye vita yoyote ya kiuchumi dhidi ya mabeberu. Mara zote tulisalimu amri, tukawapigia magoti na kuwalamba viatu.
Tunaandamana mtandaoni serikali yenyewe inaandamana barabarani imesahau nyakati hizi watu ni kupress button tu mambo kwisha wao waendelee kuzururisha hao maaskari wao barabaraniAhaaa ahaaa nimecheka kwa nguvu, watu hawawezi kuandamana, lakini serikali ndio hiyo inaonyesha jazba ya wazi kwa ajili ya watu wa mitandaoni!
Kama wanataka zirudi waseme tu zitarudishwa, Ila hatutakubali pesa za masimango, wawe wazi na wanachokitaka ila serikali imeshaweka red line hatutaki masimango tena.Haitakiwi ufafanuzi, inatakiwa €27m zirudi maana Tanzania hakuna covid fullstop.
Zimejenga hospital na vituo vya afya
Kama wanataka zirudi waseme tu zitarudishwa, Ila hatutakubali pesa za masimango, wawe wazi na wanachokitaka ila serikali imeshaweka red line hatutaki masimango tena.
Zilijenga hospital na vituo afya kuwa siku corona ikitokea ikute hospitali zipoHaitakiwi ufafanuzi, inatakiwa €27m zirudi maana Tanzania hakuna covid fullstop.
Mnyonge mjinga dawa yake ndio hiyo ili akili zikae sawaTaifa letu limekosa viongoz waadilifu na wenye huruma kwa wenzao ,100% ya misaada inalenga kwa wananch wanaitwa wanyonge wanaimba wao ni viongoz wa wanyonge ila wanayoyafanya hawana ata chembe ya huruma n hao wanyonge ,binafs naumia kwa sababu najua madhara tutakayoyapata sio wao ,leo hii tunasaidiwa ila bado hali dhoofu je tukikosa kabisa ,viongoz wetu wawafikirie watu wa hali duni wasitake kuwapa mzigo wa makodi na mfumuko wa bei
Zilijenga hospital na vituo afya kuwa siku corona ikitokea ikute hospitali zipo
Niweke hapa hiyo list kwani hapa ni bunge la ulaya? Hizo pesa hazikutolewa na bunge ulaya ripoti haiendi kwao. Inaenda kwa waliotoa pesa kazi ya bunge la ulaya sio kutoa pesa za misaada halina hela. Hela bunge walizonazo ni za wao kulipana mishahara na posho tuKwenye hiyo report ya €27m mtaviweka hivyo vituo vinavyongoja ugonjwa urudi. Wakati huo huo ww weka hiyo list ya hizo hospitali hapa, na ujenzi wake umeanza baada ya kupokea hiyo hela.