Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

Huwezi kutawala 100% kwa matakwa yako. Kuna mwingiliano mkubwa sana wa mataifa duniani unaozuia hilo.
Mbona baba yako anamtawala mama yako miaka yote na hujataka baba mwigine?
 
Anafikiri wao hawana akili ni kuwa hawaoni kinachoendelea kabisa
 
Mchakato wa kuelekea ktk kupiga kura Oktoba 28 wagombea kuenguliwa rufani zao bado, huko mbele wapiga kura kushindwa kuona majina na mwisho zoezi la kuhesabu kura kudhibitiwa na makada wa chama kimoja huku kukiwa hakuna waangalizi wa ndani na nje kujiridhisha uchaguzi ni wa huru na haki kwa wote.
 
Mnasema chama cha wasomi hata form mnashindwa kujaza,
Hata uwezo wa wanasheria wa kuwasaidia wagombea wenu hamna?
Kwa sasa chama chenu ndo cha wajinga na elimu ndogo.
Hahaha unaakili kweli au umeiba simu sasa unataka nawe uonekane upo?!

Kujaza form kunahitaji elimu ya sheria huko kwenu ccm?!

Haya tuambie kwa akili zako yupi mwenye akili, anayejaziwa form au anayejaza mwenyewe?!
 
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi wakati akipokea nakala za hati za utambulisho za Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Mhe. David Concar
Balozi asubiri kwanza kuwasiliana hati Hadi uchaguzi,Wana matamko yao Yale ya kuvuruga nchi
Ale kwanza mishikaki,mpaka uchaguzi upite ndipo aonane na Magufuli
 
Hahaha ujinga huu ataukubali nani, uchaguzi huru na haki mnapitishwa bila kupingwa?!

Majimbo yote yagombewe, hiyo ndiyo mwanzo wa uhuru na haki,pili mshindi halali atangazwe, huo ndio uchaguzi huru na haki.
Mpaka sasa uchaguzi sio huru na sio haki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania bhana, si ndiye alitoka jalalani au nimekosea?
 
Back
Top Bottom