hongera, ile english kila nikikumbuka sajicheka. biblia ya kiingereza nikiisoma kwa sasa kidogo naelewa elewa nikijazia na tafsiri yake kwa kiswahili hahahamatokeo yangu form two before sjaanza kusoma bible yalikuwa mabaya mno, HIST D, ENG C,KISW B,GEO D,PHY F, B/M D,CHEM D,CIV C, BIOS C DVS 3OF22. Matokeo form four ni HIST A,ENG C,KISW B,CHEM-,PHY-,B/M D,CIV C,BIOS C,GEO C. DVS 2OF19 umeona ufaulu ulivyoongezeka? bible niliisoma 4m3 na 4m4 mwanzoni teacher akahama wakati somo halikuwa bado kuithinishwa kuwa tutalifanyia mtihani.