Prof. Kabudi ataka Elimu ya Biblia itolewe shuleni kuanzia Chekechea hadi Sekondari na Biblia zigawiwe Bure ili kulinda Maadili

Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Ninashauri badala ya biblia quran wala msahafu wowote nchi kama nchi ije na mtaala mzima wa kifalsafa unaojumuisha dini zote. Tena ujumuishe imani zote watoto hadi watu wazima wafundishwe Rastafarianisim, Divinity, Budhism, Islamic, Shinto, Atheism, Spiritualism, Christianity, Universalism, Chaos, Order, Fatalism, kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiila kitu hapo ndio tutajenga taifa lenye maadili na kujielewa na kuelewa imani zote.

Ikiwa hivyo inabadilika kutoka kwenye kuwa religious indoctrination hadi kuwa true spiritual emancipation
 
kweli mkuu, aliyekuwa anafundisha alikuwa mmalawi...basi nikawa siokoti kitu..nikija kwa biblia ya kiswahili naona nayamudu narudi tena kwa kipindi cha kiingereza..mwisho nikanyosha mikono juu..maana walinitisha kwamba nikifanya mtihani wa necta tu, nitatakiwa kuenelea kulisoma ngazi zote, nikaogopa
mwaka gani huo na wapi huko mkuu
 
Kwani viongozi wa sasa hawajui biblia.
 
ndani ya Biblia hakuna maadili mfano Mwanzo 19 31-36
Wakiwa huko, binti mkubwa akamwambia dada yake, “Baba yetu ni mzee, na hakuna mwanamume nchini wa kutuoa tupate watoto
 
kweli mkuu, aliyekuwa anafundisha alikuwa mmalawi...basi nikawa siokoti kitu..nikija kwa biblia ya kiswahili naona nayamudu narudi tena kwa kipindi cha kiingereza..mwisho nikanyosha mikono juu..maana walinitisha kwamba nikifanya mtihani wa necta tu, nitatakiwa kuenelea kulisoma ngazi zote, nikaogopa
matokeo yangu form two before sjaanza kusoma bible yalikuwa mabaya mno, HIST D, ENG C,KISW B,GEO D,PHY F, B/M D,CHEM D,CIV C, BIOS C DVS 3OF22. Matokeo form four ni HIST A,ENG C,KISW B,CHEM-,PHY-,B/M D,CIV C,BIOS C,GEO C. DVS 2OF19 umeona ufaulu ulivyoongezeka? bible niliisoma 4m3 na 4m4 mwanzoni teacher akahama wakati somo halikuwa bado kuithinishwa kuwa tutalifanyia mtihani.
 
Ukristo haukuja kwa special people, Yesu Kristo alikuja kwa wote....maagizo na amri katika Biblia ni kwaajili ya wote, kama wewe huusiki, wengine wanahusika hata kama ni Waislam so tuliza

Torat, Zaburi na Injili mnavyo pia
mawaidha yangu ni katika kujaribu kuepusha ngumi zisizo na ulazima, kistaarabu. Elimu ya dini watu wakafundishwe kwenye nyumba zao za ibada 🐒
 
Mkuu leo unatofautiana na kiranja wako???
mimi sinatofauti na mTanzania yeyo. wote nyie ni ndugu zangu, na mawaidha yangu siku zote hua ni ya jumla katika kuepusha shari ambazo sio za lazima...

hata hivyo uhuru wa kuabudu uzingatiwe bila bila kua kero au bugudha kwa wasio husika nayo 🐒
 
Kufundishwa biblia Wala kurwani hakutasaidia.kikubwa watu wafundishwe kumcha Mungu.maadili yatakuwepo.
 
Majority ya Guest na Hotels ukiingia kuna Bible na Quran vipi zimeongeza vipi maadili na zingekuwa hot cake watu wangeziiba ila ndio hivyo...

Pili tungefuata yaliyotokea kwenye Bible watu tungekuwa tunawatoa Kafara watoto wetu kwa kutokewa na ndoto au na wengine kuua waume wa wake ambao tunawatamani na tukiwatia mimba ili kuficha hayo mauvo tuna hope hata kama wapo mbalimbali walale pamoja ili kuficha maovu hayo....
 
Inafundisha Maadili?
Ipo ya kiswahili meku kama una kijua kasome usiulize makofi ya nini polisi.
Nukuu kwenye aya moja:-
"Mwenyezi Mungu kaumba watu na wanyama kwa rangi na taswira mbali mbali" (kuondoa ubaguzi na sisi sote ni waja wake.)
 
Hili la kufundishwa maadili, uadilifu na Uzalendo inabidi lianzie kwenye ngazi ya Urais na viongozi wote kwanza.
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Yeye mwenyewe anajiona ana maadilo, mbona wakati wa Magufuli alikuwa anashabikia uovu wake?
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
OK; Je, wale wa Imani zingine wasoitambua na kuitumia Biblia unawaachaje kwa mfano.
 
Ninashauri badala ya biblia quran wala msahafu wowote nchi kama nchi ije na mtaala mzima wa kifalsafa unaojumuisha dini zote. Tena ujumuishe imani zote watoto hadi watu wazima wafundishwe Rastafarianisim, Divinity, Budhism, Islamic, Shinto, Atheism, Spiritualism, Christianity, Universalism, Chaos, Order, Fatalism, kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiila kitu hapo ndio tutajenga taifa lenye maadili na kujielewa na kuelewa imani zote.

Ikiwa hivyo inabadilika kutoka kwenye kuwa religious indoctrination hadi kuwa true spiritual emancipation
Naunga mkono hoja.
Yeah. Uibuliwe mtaala utakao kuwa non-biased kisha waweke syllabus (levels) i.e. wanaoanza e.g. Chekechea, std 1, 2, 3............Chuo kikuu. Na hilo somo hilo lipewe jina sio la dini e.g. ulivyosema Falsafa (Philosophy).
 
Proffesor gani anazungumza Upumbavu hivi, Maadili ya mtoto ni malezi ya wazazi wenyewe .

Kama wazazi hawajui kulea watoto wao kwa usahihi bhasi Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo .

Hivi Unategemeaje uhuru kutoka kwenye kitu kilichokuletea utumwa?
 
Back
Top Bottom