Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Maadiri yanavunjwa na wanasiasa,,utakuta wanaiba Kura kweupe Kabisa,,wanaandikisha Watoto wadogo,,Hao Wote wanajua Vizuri Biblia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninashauri badala ya biblia quran wala msahafu wowote nchi kama nchi ije na mtaala mzima wa kifalsafa unaojumuisha dini zote. Tena ujumuishe imani zote watoto hadi watu wazima wafundishwe Rastafarianisim, Divinity, Budhism, Islamic, Shinto, Atheism, Spiritualism, Christianity, Universalism, Chaos, Order, Fatalism, kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiila kitu hapo ndio tutajenga taifa lenye maadili na kujielewa na kuelewa imani zote.Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
mwaka gani huo na wapi huko mkuukweli mkuu, aliyekuwa anafundisha alikuwa mmalawi...basi nikawa siokoti kitu..nikija kwa biblia ya kiswahili naona nayamudu narudi tena kwa kipindi cha kiingereza..mwisho nikanyosha mikono juu..maana walinitisha kwamba nikifanya mtihani wa necta tu, nitatakiwa kuenelea kulisoma ngazi zote, nikaogopa

Kwani viongozi wa sasa hawajui biblia.Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
ndani ya Biblia hakuna maadili mfano Mwanzo 19 31-36Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
matokeo yangu form two before sjaanza kusoma bible yalikuwa mabaya mno, HIST D, ENG C,KISW B,GEO D,PHY F, B/M D,CHEM D,CIV C, BIOS C DVS 3OF22. Matokeo form four ni HIST A,ENG C,KISW B,CHEM-,PHY-,B/M D,CIV C,BIOS C,GEO C. DVS 2OF19 umeona ufaulu ulivyoongezeka? bible niliisoma 4m3 na 4m4 mwanzoni teacher akahama wakati somo halikuwa bado kuithinishwa kuwa tutalifanyia mtihani.kweli mkuu, aliyekuwa anafundisha alikuwa mmalawi...basi nikawa siokoti kitu..nikija kwa biblia ya kiswahili naona nayamudu narudi tena kwa kipindi cha kiingereza..mwisho nikanyosha mikono juu..maana walinitisha kwamba nikifanya mtihani wa necta tu, nitatakiwa kuenelea kulisoma ngazi zote, nikaogopa
huo ni uchochezi gentleman 🐒Kitimoto ni kwa Waislam zaidi sikuhizi, unataka takwimu?
mawaidha yangu ni katika kujaribu kuepusha ngumi zisizo na ulazima, kistaarabu. Elimu ya dini watu wakafundishwe kwenye nyumba zao za ibada 🐒Ukristo haukuja kwa special people, Yesu Kristo alikuja kwa wote....maagizo na amri katika Biblia ni kwaajili ya wote, kama wewe huusiki, wengine wanahusika hata kama ni Waislam so tuliza
Torat, Zaburi na Injili mnavyo pia
mimi sinatofauti na mTanzania yeyo. wote nyie ni ndugu zangu, na mawaidha yangu siku zote hua ni ya jumla katika kuepusha shari ambazo sio za lazima...Mkuu leo unatofautiana na kiranja wako???
Ipo ya kiswahili meku kama una kijua kasome usiulize makofi ya nini polisi.Inafundisha Maadili?
Yeye mwenyewe anajiona ana maadilo, mbona wakati wa Magufuli alikuwa anashabikia uovu wake?Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
OK; Je, wale wa Imani zingine wasoitambua na kuitumia Biblia unawaachaje kwa mfano.Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Naunga mkono hoja.Ninashauri badala ya biblia quran wala msahafu wowote nchi kama nchi ije na mtaala mzima wa kifalsafa unaojumuisha dini zote. Tena ujumuishe imani zote watoto hadi watu wazima wafundishwe Rastafarianisim, Divinity, Budhism, Islamic, Shinto, Atheism, Spiritualism, Christianity, Universalism, Chaos, Order, Fatalism, kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiila kitu hapo ndio tutajenga taifa lenye maadili na kujielewa na kuelewa imani zote.
Ikiwa hivyo inabadilika kutoka kwenye kuwa religious indoctrination hadi kuwa true spiritual emancipation
Hakunaga Imani isiyotumia Biblia 😀OK; Je, wale wa Imani zingine wasoitambua na kuitumia Biblia unawaachaje kwa mfano.