Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Ndio unashtuka leo? Kwenye hili tu ndio umegundua?Wameshaanza kutugeuka hawa tuliowapa dhamana ya kutuongoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio unashtuka leo? Kwenye hili tu ndio umegundua?Wameshaanza kutugeuka hawa tuliowapa dhamana ya kutuongoza
Ndio sio ya kijana si tumeambiwa ni ya research, kwani waziri wa nje kawa sample ? Ya majaribio tangu liniNdege ya Rais sio ya kijani pekee.
Kwahiyo walienda na ndege kuchukua vichupa vitatu hayo mafuta mnatumia hela ya nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweli!Umesahau majibu ya wasomi wawili wa CCM mmoja aliyetaka kutoa hadharani elimu ya Ole Sendeka na kusema hawezi kujibishana na wasiosoma na yule mwingine aliyemwita mwenzake Tumbili??
Afrika ukiwa madarakani unakuwa "Immortal" mpaka pale kifo kitakapokuumbua!
Hii ndiyo inaendana na kale kamsemo wetu "miluzi mingi humpoteza mbwa" juu yake weka " zakuambiwa changa............" Baada ya yote hayo naunga mkono utafiti wanaotaka kufanya. Nategemea utafuata Good Clinical Trials Practice pamoja na documentation zake.Nimemsikiliza Mh Palamagamba Kabudi na wataalamu alio andamana nao kwenda kufata KIKOMBE cha MADAGASCA.
Hakika nimepatwa na mshangao mkubwa hasa pale nilipo sikia kuwa walipanda ndege ya Rais kwenda kufata chupa mbili kwa ajili ya kufanya uchunguzi kama kweli ni dawa au la?
Sasa najiuliza kama umefata Dawa ya majaribio kaa nini kuna picha zinaonesha ukiwa unakunywa kikombe hicho ambacho hakija dhibitishwa wataalam wa kutoka Tanzania?...
Box tisa zimekwenda kwa famila bora ChatoUtetezi wa kijinga sana, unachoma pesa za walipa kodi, kwa kitu kisichokuwa na manufaa kwa wananchi.
Kulikuwa na haja kutuma ndege kufuata chupa mbili?!
Ni tafiti ngapi za dawa za asili za hapa nchini mnazofanya, maana hapa tumesikia watu wa tiba asili wakisema wanadawa za kutibu Corona, au nini kilifanya muwaamini Madagascar?!...
Naomba video au picha akiwa anakunywa.
Ni Tanzania pekee ambapo mtu akipewa kuongoza kitu kinachohusiana na professional yake anashindwa ila anakuwa mahili kuongoza wizara isiyohusisha na professional yake. Nchi ya vi-wonder hii!!Ndiyo alikuwa anafanya uchunguzi pale. Au hujui kama yeye ni Profesa??
Box 9 zinaenda Chatko na 3 kwa ajili ya wakina Kabudi na Pole Pole.Sasa box 12 mtazigawanaje? Bora JPM agawe mwenyewe