Prof. Kabudi: Mungu ndiyo humtoa mtu jalalani sio Rais Magufuli

Kabudi umesaidiwa sana, kuanzia kura za maoni ukapitishwa wenzako waliokushinda wakakatwa, ukasaidiwa tena wakamwengua mpinzani wako wa CHADEMA na wa vyama vingine ili upite bila kupingwa zote hizo ni rushwa kama rushwa zingine ufahamu hilo na ni lazima siku moja utakuja kujibu mbele ya Watanzania na mbele ya Mwenyezi Mungu.
 
Ukiambiwa huyo CHADEMA alijiengua mwenyewe baada ya kuona ngoma nzito utabisha.
Endelea kuamini hivyo tuu ni faraja
 
Ukiambiwa huyo CDM alijiengua mwenyewe baada ya kuona ngoma nzito utabisha.
Endelea kuamini hivyo tuu ni faraja
Rushwa ni rushwa tu. Wapi uadilifu wa Kabudi ati kupita bila kupingwa? karne hii utapitaje bila kupingwa kama siyo rushwa tena ya wazi wazi? na adhabu yake ipo palepale,aliyetoa na aliyepokea wote.
 
Wao wanaamini watainuliwa na kina robert amsterdam, wabelgiji na wajerumani.
CHADEMA wasanii, sasa hivi wanakimbilia nje ya mipaka na kusema maisha yako hatarini! Yaani Leo ndiyo yawe hatarini? Lissu alisema sirudi Tz mpaka serikali inihakikishie ulinzi vinginevyo maisha yangu yatakuwanhatarini.
Serikali haikuangaika naye. Karudi hakuna aliyemgusa.

Akaamua aichokoze serikali kwa kuanzisha uhaini, bado serikali haiku react violently kama ukubwa wa kosa unavyotaka.
 
BAVICHA hawana uwezo wa kuelewa misemo Kama ya Prof. Kabudi mpaka wafafanuliwe sana Kama watoto wa darasa la pili. Nakumbuka Dr. Bashiru aliposema CCM itatumia dola kubaki madarakani hawakuelewa. Mpaka alivyofafanua ndiyo wachache wakaelewa!
 
BAVICHA hawana uwezo wa kuelewa misemo Kama ya Prof. Kabudi mpaka wafafanuliwe sana Kama watoto wa darasa la pili. Nakumbuka Dr. Bashiru aliposema CCM itatumia dola kubaki madarakani hawakuelewa. Mpaka alivyofafanua ndiyo wachache wakaelewa!
Umenena vyema.
 
Anatapatapa,bado Na Yule aliyemfananisha Magufuli na' Yesu'
 
H
Hiyo zaburi ya 113 ina neno 'jalalani'?
 
Huyo kabudi apeleke mpango kazi wa kuinua jimbo lake Mambo ya kulialia yashapitwa na wakati na leo sijaona aliyejiandaa kufanya kazi zaidi ya JPM maana muda waliopewa hakuna aliyeonyesha kulisemea jimbo lililomfanya kupata hicho cheo.
 
Wenye akili tumemuelewa Kwa sauti kubwa peleka kamera Kwa Bwana mkubwa alijisikiaje Kwa maneno hayo seems kuna kitu kinakuja
 
Bora Leo kafafanua maana ingawa Mimi ni mwana CCM lakini kusema eti Mh Rais Magufuli eti kamtoa jalalani nilimtoa maana sana.
Yaani UDSM ni jalala number 1 state university wewe unaita jalala.

Kwa hiyo ameendelea kusisitiza kuwa UDSM ni jalalani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…