Prof. Kabudi: Mungu ndiyo humtoa mtu jalalani sio Rais Magufuli

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri.

Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof. Kabudi alimaanisha jalalani ni UDSM na mtu anae watoa watu jalalani ni JPM.

Leo hii akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa amesoma Zab 113 na kueleza jinsi Mungu anavyoweza kumnyanyua mtu kumwinua na kupata cheo, hata kama ni mtu hohe hahe.

Jambo la kujifunza hapa ni kwa wafuasi na viongozi wa CHADEMA watambue kuwa, Mungu ndie humwinua mtu na kumtoa jalalani, hivyo wasiwe wanakurupuka na kuropoka hovyo.
Prof jalalani hajawahi kua na akili zaidi ya kuropoka tu
 
Naona prof kajibu mapigo kwa Magufuli.

Hata mtu kuwa rais sio utashi wa Magufuli kwa kutaja kigezo cha umri.

Kweli sasa naona ccm kila mtu ameshaanza kuwa na sharubu.

Magufuli atarajie kujibiwa sana kuhusu hili la kipengele cha umri.

Ikulu hawaendi kucheza soka ama riadha.
 
Stupid.
 
😁😁😁,huyuhuyu aliyepitiwa na kusema "mheshimiwa Mungu" badala ya mheshimiwa Rais!Nidhamu ikizidi ni uoga na si nidhamu tena!
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri.

Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof. Kabudi alimaanisha jalalani ni UDSM na mtu anae watoa watu jalalani ni JPM.

Leo hii akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa amesoma Zab 113 na kueleza jinsi Mungu anavyoweza kumnyanyua mtu kumwinua na kupata cheo, hata kama ni mtu hohe hahe.

Jambo la kujifunza hapa ni kwa wafuasi na viongozi wa CHADEMA watambue kuwa, Mungu ndie humwinua mtu na kumtoa jalalani, hivyo wasiwe wanakurupuka na kuropoka hovyo.
Kwa nchi yetu hii, Unafiki na Uongozi vinaenda sambamba kabisa!
 
Unajidhalilisha CHADEMA Hapo Inaingiaje. Mambo ya CHADEMA yaliisha October 28, 2020. Hizi Unazoandika Hapa ni Kukosa Maarifa tu. CHADEMA Hawana Muda na Wewe..
 
Bora Leo kafafanua maana ingawa Mimi ni mwana CCM lakini kusema eti Mh Rais Magufuli eti kamtoa jalalani nilimtoa maana sana.
Yaani UDSM ni jalala number 1 state university wewe unaita jalala.
Unajua Chadema wanaongozwa na Aliyefeli kidato cha 4 kwa kupata Sufuriiaaa, akiongoza na ile kitu anayoipiga ndo anawakoroga kabisaaaa
 
Profesa gani unashindwa kuongea short and clear.

Umeambiwa uongee kifupi neno la shukrani ,,sasa yeye maneno mengi ,vifungu kibao vya biblia , utadhani mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa album ya mwimbaji wa gospo .! Kana kwamba bila Magufuli yeye si kitu.

Kasahau Biblia hiyo hiyo kuna mahali imeandikwa "Amelaniwa amtegemeae Mwanadamu...."
 
Bora Leo kafafanua maana ingawa Mimi ni mwana CCM lakini kusema eti Mh Rais Magufuli eti kamtoa jalalani nilimtoa maana sana.
Yaani UDSM ni jalala number 1 state university wewe unaita jalala.
Kwa hiyo leo,baada ya kudanganyishia tena umemrudisha kwenye maana?. Watz tuna-fail wapi?. Mtu anaweza kuwavuruga atakavyo. Leo utomtoa kwenye maana,kesho unamrudisha,kesho kutwa unamtoa. Anaendelea kuwapiga danadana. Kauli moja tu inamaanisha mtu alivyo,inatosha kumuelewa mtu alivyo milele
 
Profesa gani unashindwa kuongea short and clear.

Umeambiwa uongee kifupi neno la shukrani ,,sasa yeye maneno mengi ,vifungu kibao vya biblia , utadhani mgeni rasmi kwenye .! Kana kwamba bila Magufuli yeye si kitu.

Kasahau Biblia hiyo hiyo kuna mahali imeandikwa "Amelaniwa amtegemeae Mwanadamu...."
So ???
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri.

Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof. Kabudi alimaanisha jalalani ni UDSM na mtu anae watoa watu jalalani ni JPM.

Leo hii akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa amesoma Zab 113 na kueleza jinsi Mungu anavyoweza kumnyanyua mtu kumwinua na kupata cheo, hata kama ni mtu hohe hahe.

Jambo la kujifunza hapa ni kwa wafuasi na viongozi wa CHADEMA watambue kuwa, Mungu ndie humwinua mtu na kumtoa jalalani, hivyo wasiwe wanakurupuka na kuropoka hovyo.
''Mungu'' ndiye aliwasaidia kuiba kura ili washinde. ''Mungu ndiye aliwatuma waue watu ili washinde. Kweli Mungu anadhihakiwa siku hizi.
 
Sasa analaumu Chadema badala ya kujilaumu yeye mwenye we kwa alichokisema mwenyewe?
 
Mnyenyekevu anajaribu kusahihisha makosa baada ya miaka miwili. Uzuri Mkulu alishasema hadharani kuwa Jamaa ni Kati ya wale anaowapigia simu na sometime kuwapa pumbavu pumbavu. No wonder wamepata teuzi za mwanzo.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri.

Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof. Kabudi alimaanisha jalalani ni UDSM na mtu anae watoa watu jalalani ni JPM.

Leo hii akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa amesoma Zab 113 na kueleza jinsi Mungu anavyoweza kumnyanyua mtu kumwinua na kupata cheo, hata kama ni mtu hohe hahe.

Jambo la kujifunza hapa ni kwa wafuasi na viongozi wa CHADEMA watambue kuwa, Mungu ndie humwinua mtu na kumtoa jalalani, hivyo wasiwe wanakurupuka na kuropoka hovyo.
Aache kelele.
Aliyemwokota jalalani keshamhakikishia 2025 hampi urais ng'oo, labda amroge!!
 
Back
Top Bottom