Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
PossibilitiesMkuu hoja zako ziyo za kisayansi. Ndege inaweza kuanguka na akapona mtu mmoja tu wengine hata mia moja wakafa. Dereva kutoumia siyo uthibitisho. Ajali haichagui itokee wapi hivyo kutokea porini siyo issue.
Sasahivi mfumo ndiyo upo hovyo snNdo kizazi hiki kilichokuwa kikipambana na Whites (Colonialists)....Hiki kizazi cha leo hata kupambana na Blacks wenzao Kimeshindwa....
Tapeli haswadawa corona
We utakuwa ni mgeni hapa TzUtapeli wake nini hapo.Kwani Sokoine hakufa,na kwani Nyerere hakusema anasikitishwa na kifo cha Sokoine?
Uhujumu uchumi ilikuwa balaa..hata Sokoine alikuwa anakwenda hukohuko.
..alikuwa mbioni kukubaliana na sera za kibepari ambazo Mzee Mwinyi alikuja kutozitekeleza.
..pia aligundua na kusikitishwa na makosa makubwa na uonevu wakati wa zoezi la kukamata wahudumu uchumi.
..lawama za operesheni dhidi ya uhujumu uchumi ziliangukia kwa Sokoine. Yeye alikuwa anajutia kilichotokea, lakini wananchi walikuwa wakimpenda kutokana na operesheni ile.
Hivi wewe unaamini kabisa kuwa Nyerere alijiuzulu uwaziri mkuu baada ya miezi mitatu tu ya uhuru eti akaimarishe chama?. Nyerere alijiuzulu ili kwenda kusuka mipango ya kuifanya Tanganyika iwe Jamhuri , akiwa busy kuandika katiba ya Tanganyika ambayo mkuu wa nchi ni rais. Na pia kumpa nafasi mtu mwingine kufanya "Africanization", kuondoa wazungu kwenye nafasi nyeti na kuweka waafrika. Nyerere hakutaka kuonekana mbele ya muingereza kuwa ni that radical!. Kawawa aliifanya hiyo kazi lakini hakuifanya jeshini na ndiyo maana miaka michache baada ya Nyerere kuibuka na kuwa Rais sasa alinusurika kupinduliwa na wanajeshi wa jeshi la Tanganyika Rifles waliokuwa wanaona bado hawawi promoted kwa kasi waliyoitegemea katika kipindi cha kudai uhuru. Kupendwa kwake na muingereza kulimlipa ndiyo maana maasi yale yalizimwa na jeshi la muingereza!
Na kipindi hiki asilimia 100 ni waoga.. Kama huyu wa sasa ameweza basi hakuna Mtanzania atakayeshindwa..Asingeweza kuogoza kwa sasa, kipindi hicho 95% walikuwa ni wajinga
Uhujumu uchumi ilikuwa balaa
Ukikutwa na dawa ya meno,sabuni tu utaeleza 😄
Ova
Huyo Profesa Kabuti ni takataka kama hizi ndizo amebaki nazo kama sifa kwake?Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema baada ya Kifo Cha Sokoine Maneno mengi yalisemwa ikiwemo " aliuawa kwa njama"
Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika Kifo Cha Sokoine Mwalimu Nyerere Alihusika au Alifaidika na Kifo hicho
Mwandishi huyo alisema Nyerere alihofia Sokoine akiwa Rais atape
Prof Kabudi anasema Mwalimu Nyerere alisikitika sana baada ya kusoma Makala hayo na kumwomba Mungu wa Mbinguni amsamehe Mwandishi yule
Source: Mwanahalisi Digital
Huyu haongozi kuna remote ipo MsogaNa kipindi hiki asilimia 100 ni waoga.. Kama huyu wa sasa ameweza basi hakuna Mtanzania atakayeshindwa..
..Kawawa angekuwa mroho wa madaraka angemgeuka Nyerere.
..wewe huoni jinsi Samia alivyowageuka wenzake, wakati makubaliano yalikuwa wanaondoka 2025, sasa anasuka mipango ya 2035.
Yule alikufa na mengi,hasa laana ya kumpiga risasi TUNDU LISUMbona hayo ni kawaida tu.
Kiongozi wa juu akifariki hasa ghaflaghafla anatafutwa tu mtu wa kumsingizia.
Mfano JPM alipofariki wengine walidai JK na Kinana walihusika wakati hata kunufaika hawajanufaika kwa chochote.
Angemgeuka Nyerere kwa jeshi gani loyal kwake ?, na kwa wananchi gani?
Miaka ya 1960's Nyerere alikuwa maarufu kwa Watanganyika kuzidi kiasi.
Halafu Muingereza alikuwa anampenda Nyerere, Ingekuwa suicidal kwa Kawawa kujaribu hilo!
Wewe naweza kukusikiliza, kwa hayo uliyo andika na kuyatafakari kwa kina.Muulizeni Cleopa Msuya kabla ya ..,fa, huyu ndiyo kabakia katika master planners
Wacha bhwanah!..Kawawa naye alikuwa na base yake kwenye vyama vya wafanyakazi.
Yah ile kasi ya mambo uhujumu uchumi kdg walitereza..Sokoine aligundua makosa yake.
Wacha bhwanah!
Sasa tutatafutiza kila visababu hata visivyo kuwa na mwanzo wala mwisho! Nyakati hizo za kifo cha Sokoine, Kawawa awe na 'base' kwa wafanya kazi?
Alifanya nini kwenye Covid.dawa ya covid 19?