Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Think criticallyHuu ni uzushi. Sokoine angeuawa basi Nyerere asingecha mambo yaishie juu juu. Ile ilikuwa ni ajali tu ila watu siku zote huependa kuamini uvumi kuliko ukweli.
Dumisani Dube Mkimbizi wa ANC
Scene ya accident - porini na hakuna kijiji alitokea mkulima alimwona Sokoine kasimama. Ghafla kusikia kafa- debunked.
Postmodern majibu - Siri
Dereva wa Skoine anaitwa Chuma na mlinzi wake wala hawakulazwa muda hospitali
Nyerere kuna mambo alikuwa mwoga, huwezi kujua nguvu aliyokuwa kawawa na Msuya. Hao walikiwa rivals wa Sokoine kwa sababu Nyerere alimsikiliza sana Sokoine.
Fikiria, Sokoine alijiuzulu uwaziri mkuu akaenda kusoma Ulaya akarudi. Mwezi March alipewa nafasi ya kuhutubia mkutano mkuu wa CCM akaenda moja kwa moja kwenye point. Ujamaa au ubepari vyote sawa lakini lazima tutatue matatizo ya wananchi. Akamwambia Rais nikerudi Naomba uwaziri mkuu tena, baada ya wiki akawa Waziri Mkuu tena.
Just think critically huyu atapendwa?
Muulizeni Warioba