Prof Kabudi: Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika kuhusu kifo cha Sokoine kwamba Nyerere alihusika au alifaidika na kifo hicho

Huu ni uzushi. Sokoine angeuawa basi Nyerere asingecha mambo yaishie juu juu. Ile ilikuwa ni ajali tu ila watu siku zote huependa kuamini uvumi kuliko ukweli.
Think critically
Dumisani Dube Mkimbizi wa ANC
Scene ya accident - porini na hakuna kijiji alitokea mkulima alimwona Sokoine kasimama. Ghafla kusikia kafa- debunked.

Postmodern majibu - Siri

Dereva wa Skoine anaitwa Chuma na mlinzi wake wala hawakulazwa muda hospitali

Nyerere kuna mambo alikuwa mwoga, huwezi kujua nguvu aliyokuwa kawawa na Msuya. Hao walikiwa rivals wa Sokoine kwa sababu Nyerere alimsikiliza sana Sokoine.

Fikiria, Sokoine alijiuzulu uwaziri mkuu akaenda kusoma Ulaya akarudi. Mwezi March alipewa nafasi ya kuhutubia mkutano mkuu wa CCM akaenda moja kwa moja kwenye point. Ujamaa au ubepari vyote sawa lakini lazima tutatue matatizo ya wananchi. Akamwambia Rais nikerudi Naomba uwaziri mkuu tena, baada ya wiki akawa Waziri Mkuu tena.

Just think critically huyu atapendwa?

Muulizeni Warioba
 
Anaogopa kusema Kawawa na Msuya

..wamemuua vipi bila kuviingilia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?

..Na mtu kama Rashidi Kawawa alishakuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika mwaka 1962 wakati Mwalimu Nyerere alipojiuzulu.

..Kawawa angekuwa mpenda madaraka angemshughulikia Mwalimu Nyerere ktk miaka ya 60, na kung'ang'ania madarakani.

..Zaidi mwaka 1985 Rashidi Kawawa na Ali Hassan Mwinyi ndio waliopendekezwa kumrithi Mwalimu Nyerere. Mzee Rashidi Kawawa aliondoa jina lake.

..Tunafanya makosa kumtuhumu Rashidi Kawawa bila kuifahamu vizuri historia yake.
 
Mkuu, ni kweli pamoja na TISS ya Mwalimu kuwa bora katika utendaji wake, lakini uwepo wa Serikali mbili za kiutawala, kwa maana ya Serikali Kuu na Serikali za Tawala za Mitaa, zilikuwa zinafanya kazi zake kwa kufuata Kanuni, Sheria na Taratibu za Kiutawala kwa mujibu ya Katiba; bila kuingilina; hivyo Wananchi kwa asilimia kubwa huduma zao zilikuwa chini ya Serikali ya Mitaa (Local Government) hivyo ilikuwa vigumu kwao kujua mienendo ya Waziri Mkuu na hasa ukizingatia hapakuwa na vyombo vingi vya mawasiliano na hasa vya teknolojia ya kisasa kama leo.

..Mwalimu aliwahi kufuta serikali za mitaa, mpaka baadae alipogundua kuwa amekosea.
 
Think critically
Dumisani Dube Mkimbizi wa ANC
Scene ya accident - porini na hakuna kijiji alitokea mkulima alimwona Sokoine kasimama. Ghafla kusikia kafa- debunked.

Postmodern majibu - Siri

Dereva wa Skoine anaitwa Chuma na mlinzi wake wala hawakulazwa muda hospitali

Nyerere kuna mambo alikuwa mwoga, huwezi kujua nguvu aliyokuwa kawawa na Msuya. Hao walikiwa rivals wa Sokoine kwa sababu Nyerere alimsikiliza sana Sokoine.

Fikiria, Sokoine alijiuzulu uwaziri mkuu akaenda kusoma Ulaya akarudi. Mwezi March alipewa nafasi ya kuhutubia mkutano mkuu wa CCM akaenda moja kwa moja kwenye point. Ujamaa au ubepari vyote sawa lakini lazima tutatue matatizo ya wananchi. Akamwambia Rais nikerudi Naomba uwaziri mkuu tena, baada ya wiki akawa Waziri Mkuu tena.

Just think critically huyu atapendwa?

Muulizeni Warioba
Mkuu hoja zako ziyo za kisayansi. Ndege inaweza kuanguka na akapona mtu mmoja tu wengine hata mia moja wakafa. Dereva kutoumia siyo uthibitisho. Ajali haichagui itokee wapi hivyo kutokea porini siyo issue.
 
Ndo kizazi hiki kilichokuwa kikipambana na Whites (Colonialists)....Hiki kizazi cha leo hata kupambana na Blacks wenzao Kimeshindwa....

..wakoloni Waingereza walikuwa wastaarabu na wenye utu kuliko haya makatili yaliyoko ktk Ccm.

..Mwalimu Nyerere hakupewa misukosuko na Waingereza, ukilinganisha na masaibu wanayopitia viongozi wa upinzani sasa hivi.

..Tusiwasimange wapinzani bila kuzingatia uhalisia wa siasa za Tanzania.
 
Sokoine alikuwa jasiri na strong.

Mwendo ule wa kupambana na wahujumu uchumi mpaka watu weupe wanakimbia nchi, hasa wahindi.

Siwezi kuamini kama ni Mwalimu pengine ni cabinet yake.

Wakasema hakufa ila aliongezewa kufa.

Akazikwa kwao, ikaja miaka wakasema tunahamisha mwili wa Sokoine eti wamasai wanahama hama, hivyo lile boma wamehama wanataka mwili wauhamishe,

Hapo sasa ni baada ya vijana wake kukua, wakataka waone, je mwili wa mzee wetu una matobo ya mitutu ili tukiwashe.

Oops, huko juu wakaona hili sasa ni soo au ni noma,

Ikabidi wabeba mitutu wafanye hiyo kazi, wambeya tukabaki midomo wazi.

Wote hawapo tena.

Dumician Dube?
 
RAshidi alikuwa nguzo kubwa ya Mwalimu hangeweza kumshika. Hata Mwingira alipewa kazi nyingine. Ukweli ni kuwa likuwa uikiukwaji wa sera. Nyerere alipendelea ujamaa na Rajpar alitoa rushwa kununua meli siyo ni kweli iliuzwa na pesa yote kuibiwa. Ukiukwaji wa sera.
Kwa hiyo hata nyerere wahuni walikuwa wanampiga
 
Sokoine alikuwa jasiri na strong.

Mwendo ule wa kupambana na wahujumu uchumi mpaka watu weupe wanakimbia nchi, hasa wahindi.

Siwezi kuamini kama ni Mwalimu pengine ni cabinet yake.

Wakasema hakufa ila aliongezewa kufa.

Akazikwa kwao, ikaja miaka wakasema tunahamisha mwili wa Sokoine eti wamasai wanahama hama, hivyo lile boma wamehama wanataka mwili wauhamishe,

Hapo sasa ni baada ya vijana wake kukua, wakataka waone, je mwili wa mzee wetu una matobo ya mitutu ili tukiwashe.

Oops, huko juu wakaona hili sasa ni soo au ni noma,

Ikabidi wabeba mitutu wafanye hiyo kazi, wambeya tukabaki midomo wazi.

Wote hawapo tena.

Dumician Dube?

..Sokoine kabla ya kuzikwa alifanyiwa MILA za kabila la Wamaasai.

..Kwa hiyo wanawe wa kiume waliuona mwili wa Baba yao wakati wa zoezi hilo la kimila.
 
..wamemuua vipi bila kuviingilia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?

..Na mtu kama Rashidi Kawawa alishakuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika mwaka 1962 wakati Mwalimu Nyerere alipojiuzulu.

..Kawawa angekuwa mpenda madaraka angemshughulikia Mwalimu Nyerere ktk miaka ya 60, na kung'ang'ania madarakani.

..Zaidi mwaka 1985 Rashidi Kawawa na Ali Hassan Mwinyi ndio waliopendekezwa kumrithi Mwalimu Nyerere. Mzee Rashidi Kawawa aliondoa jina lake.

..Tunafanya makosa kumtuhumu Rashidi Kawawa bila kuifahamu vizuri historia yake.
Note Kawawa hakuwa rival wa Nyerere alikuwa number 2 ni hiyo nafasi aliyokuwa nayo muda wote and trusted, alijua uwezo wake hamzidi Nyerere, na uwepo wake unategemea zaidi Nyerere. Nyerere alimfanya kawawa kama glove when you do on a punching bag. Na kawawa alimsikiliza Nyerere. Sokoine alikuwa independent aliweza kum-advise Nyerere na akakubali
 
nchi alipokuwa ameifikisha Nyerere haikuhitaji mtu mwenye akili kama Sokoine alihitajika mtu Royal kwa mwalimu ndiyo maama akampiga chini Salim baada ya Sokoine kufa na kum pendekeza Mwinyi.
 
..Mwaka 1962 Mwalimu Nyerere alijiuzulu Uwaziri Mkuu.

..Rashidi Kawawa akashika madaraka ya nchi.

..Kawawa was the top guy, while Mwalimu was out dealing with Tanu affairs.

..Kama Rashidi Kawawa angekuwa na tamaa ambayo mnajaribu kueleza kuwa alikuwa nayo basi asingerudisha uongozi wa serikali kwa Mwalimu Nyerere.

..Na kama Rashidi Kawawa alimuua Sokoine ili yeye awe mrithi wa Mwalimu Nyerere, mbona jina lake lilipopendekezwa mwaka 1985 Kawawa alikataa?

Cc Kiranga, Mzee Mwanakijiji
 
Sokoine alikuwa jasiri na strong.

Mwendo ule wa kupambana na wahujumu uchumi mpaka watu weupe wanakimbia nchi, hasa wahindi.

Siwezi kuamini kama ni Mwalimu pengine ni cabinet yake.

Wakasema hakufa ila aliongezewa kufa.

Akazikwa kwao, ikaja miaka wakasema tunahamisha mwili wa Sokoine eti wamasai wanahama hama, hivyo lile boma wamehama wanataka mwili wauhamishe,

Hapo sasa ni baada ya vijana wake kukua, wakataka waone, je mwili wa mzee wetu una matobo ya mitutu ili tukiwashe.

Oops, huko juu wakaona hili sasa ni soo au ni noma,

Ikabidi wabeba mitutu wafanye hiyo kazi, wambeya tukabaki midomo wazi.

Wote hawapo tena.

Dumician Dube?
Mamndeni,una habari nyingi.
Haya u mwanedu
 
..Mwaka 1962 Mwalimu Nyerere alijiuzulu Uwaziri Mkuu.

..Rashidi Kawawa akashika madaraka ya nchi.

..Kawawa was the top guy, while Mwalimu was out dealing with Tanu affairs.

..Kama Rashidi Kawawa angekuwa na tamaa ambayo mnajaribu kueleza kuwa alikuwa nayo basi asingerudisha uongozi wa serikali kwa Mwalimu Nyerere.

..Na kama Rashidi Kawawa alimuua Sokoine ili yeye awe mrithi wa Mwalimu Nyerere, mbona jina lake lilipopendekezwa mwaka 1985 alikataa?

Cc Kiranga, Mzee Mwanakijiji
Kwanza hii ya Kawawa na Nyerere na uwaziri mkuu ni kama ile ya Putin na Medvedev. Simple, Nyerere alikuwa ndiyo on the driving wheel. Kawawa was just a proxy.

Pili Nyerere alijua kuwa kawawa hana uwezo wa kuwa Rais- education. Hata Mwinyi alikuwa asiwe Rais ilikuwa hawezi kumruka Makamu - Mwinyi. Salim Ahmed Salim alikuwa ndiyo katika fikra zake kama Mwinyi ata drop.

Nikusahihishe, demise ya Sokoine ilikuwa ni nafuu kwa henchmen, their survival, siyo kuwa Kawawa alitaka ambadili Nyerere.

Kama ni Rais, Nyerere alionyesha wazi kabisa Salim anaweza
 
nchi alipokuwa ameifikisha Nyerere haikuhitaji mtu mwenye akili kama Sokoine alihitajika mtu Royal kwa mwalimu ndiyo maama akampiga chini Salim baada ya Sokoine kufa na kum pendekeza Mwinyi.
Nyerere alikuwa kiongozi anayejua mpangilio wa kuachiana madaraka anayefuata ni Makamo wake yaani Mwinyi. Angekataa Mwinyi angempendekeza Salim
 
..Mwaka 1962 Mwalimu Nyerere alijiuzulu Uwaziri Mkuu.

..Rashidi Kawawa akashika madaraka ya nchi.

..Kawawa was the top guy, while Mwalimu was out dealing with Tanu affairs.

..Kama Rashidi Kawawa angekuwa na tamaa ambayo mnajaribu kueleza kuwa alikuwa nayo basi asingerudisha uongozi wa serikali kwa Mwalimu Nyerere.

..Na kama Rashidi Kawawa alimuua Sokoine ili yeye awe mrithi wa Mwalimu Nyerere, mbona jina lake lilipopendekezwa mwaka 1985 Kawawa alikataa?

Cc Kiranga, Mzee Mwanakijiji

Hivi wewe unaamini kabisa kuwa Nyerere alijiuzulu uwaziri mkuu baada ya miezi mitatu tu ya uhuru eti akaimarishe chama?. Nyerere alijiuzulu ili kwenda kusuka mipango ya kuifanya Tanganyika iwe Jamhuri , akiwa busy kuandika katiba ya Tanganyika ambayo mkuu wa nchi ni rais. Na pia kumpa nafasi mtu mwingine kufanya "Africanization", kuondoa wazungu kwenye nafasi nyeti na kuweka waafrika. Nyerere hakutaka kuonekana mbele ya muingereza kuwa ni that radical!. Kawawa aliifanya hiyo kazi lakini hakuifanya jeshini na ndiyo maana miaka michache baada ya Nyerere kuibuka na kuwa Rais sasa alinusurika kupinduliwa na wanajeshi wa jeshi la Tanganyika Rifles waliokuwa wanaona bado hawawi promoted kwa kasi waliyoitegemea katika kipindi cha kudai uhuru. Kupendwa kwake na muingereza kulimlipa ndiyo maana maasi yale yalizimwa na jeshi la muingereza!
 
Back
Top Bottom