Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

Majalala sijui kabobea eneo lipi la sheria.
Lakini tusimlaumu sana. Mawaziri lazima waseme kila ambacho Jiwe anataka kusikia.
Hivi yule Engineer wa lift bado yupo kazini?
Subiri Jumapili ipite,Leo ndio ubatizo wa Moto hufanyika.
 
Kitu ambacho nimejifunza kwa hawa wasaidizi wa mh rais, ni kwamba wamekaa na mh na wakamuelewa kitu anachopenda kukisikia na ndicho wanachompa regardless of its impact, na mh rais akiendelea namna hii atapotoshwa sana kwenye mambo ya msingi na mwisho ataiweka nchi hii mahali pabaya sana kiasi kwamba rais ajaye atakuwa na kibarua kigumu sana, ukitaka kuelewa mentality ya mh rais wetu tizama conversation yake na yule engineer juzi kwenye issue ya public buildings kuwa na lift, alipozidiwa kwa hoja akaamuru kwa mkuu wa jkt kuwa akiona jamaa anawachelewesha kwa specifications zake awekwe ndani na kazi iendelee, hivyo ndio namna mkuu wetu alivyo na wasaidizi wake wameshamuelewa na wanampa ushauri anaopenda kuusikia, lazima mkuu aruhusu na upande asiopenda kuusikia.
 
Mkuu swala la kujiuliza n kuwa huyu mkulima anapata wapi nguvu za za kwenda mahakamani na kusikilizwa kama kesi anashindwa.
 
Sio kweli serekali ilienda south afrika kukomboa ndege na sio kushinda kesi

Ndo maana walisema ndege inatumiwa na rais
Bado unapotosha. Hao wanasheria walichemka kupeleka kesi katika nchi ambayo kisheria huwezi kupeleka madai ya malipo.

Zipo nchi ambazo ukipeleka kesi ya madai ya malipo unasikilizwa na zipo ambazo ukipeleka kesi hausikilizwi.

Nchi zenye kusikiliza madai mfano ni Canada.

Nchi ambazo hawasikilizi mfano ni Marekani na South Africa.

Usisikilize sana matango pori ya wanasiasa.
 

Kwani mkuu huyu mzungu anadai fidia kwa ardhi peke yake? Si anadai alikua na mali zingine zisizohamishika na zinazohamishika kama vile ndege, matrekta, zana za kilimo nk na vyote vilitaifishwa?

Pili, kwanini unang'aka na kua mkali wakati hili ni jambo la kueleweshana? Wewe unafikiri sisi tunaojadili hapa hatuipendi Tanzania, au unadhani wewe unaipenda Tanzania kuliko sisi? Au unafikiri kuipenda Tanzania maana yake ni kukaa kibwege na kukubali kila kitu bila hata kuhoji?

Mwisho, mimi siamini kama huyu mzungu ni kichaa, aende mahakamani kwa kesi ambayo haipo na awe na ushawishi kiasi cha kufanya mahakama za nchi mbili tofauti kwa vipindi viwili tofauti ziagize kukamatwa kwa mali zetu. Kama huyu mzee ni kweli anatudai, mimi nafikiri jambo la kiungwana la kufanya ni ama kumlipa au kukaa nae na kuingia makubaliano ya jinsi ya kumlipa kidogo kidogo.
 
Ujinga wa watanzania ndio mtaji wa wanasiasa waliposema tumeshinda kesi hakuna mtu hata mmoja aliyehoji hati ya hukumu hii inaonyesha jins gani tumegeuzwa nchi ya wapumbavu.
Usijitoe ufahamu, utahoji hukumu ya kesi wakati hata bei ya ndege hujui!!! Wewe mpaka sasa umeshaona lisiti ya manunuzi ya hizi ndege????
 
Haya mambo ya kisheria hayataki ubabe.

Aijui kama tulimaliza kulipa deni la meli ya samaki ambalo tumeamriwa tulipe samaki wote, meli yenyewe na hasara iliyopatikana wakati wote wa kesi pamoja na faida ambayo ingepatikana.

Steyn na wanasheria wake siyo wajinga. Wanaelewa kuwa hawana cha kupoteza.

Naanza kuhisi kuwa ingekuwa tumeshinda tusingesitisha ndege zetu kwenda Afrika Kusini.

Natamani iwe tumeshinda kweli, maana hizi gharama tunazoingia kwenye hii kesi si ndogo na sifahamu tuna nini cha kushika tena cha Steyn ikiwa ameshindwa kesi na atatakiwa atulipe gharama zetu. Nahisi hana cha kupoteza ndiyo maana kashikilia bango.
 
Jamaa ni kasuku,hajui tofauti ya hukumu na kesi .Hajui kwamba haki ya mkulima iko pale pale.Hajui where there is a right there is a remedy.wanatengenezwa kujenga chuki dhidi ya mkulima hawajui ya wakina Kukutia Ole Pumbun.
KARLO MWILAPWA,
Mkuu, kilichofanya ndege kuzuiwa ni hukumu.
 

Hakuna cha maslahi mapana ya chochote hapa

Hapa ni kesi then haki itendeke!

Hii uzalendo talk mnataka mtende dhuluma muachwe kisa sababu ni nchi?

SA akina Kabudi waliponea sababu ya mkulima ku-file kimakosa majalada yake!

Alikosea kujaza fomu za mahakama!

Yaani waliponea sababu ya technicality ya kujaza makabrasha ya kufungua kesi!

Sasa hivi kajaza proper na kaenda nchi yenye misingi ya kweli sio some stupid corrupt ANC government huku bara la giza!

Hapo kesi izungumzwe mahakama itoe haki!

Eti mchukue mali za mtu then leo mje na hoja za kimatako za “uzalendo”?

Really?

Lipeni deni la mtu,maana mmezoea kurusha even makontrakta nchini kama mnavyotaka,ulaya hakuna usenge!

Mjifunze kuishi kistaarabu hapa duniani
 
KARLO MWILAPWA, Kabudi nasikia hana historia yoyote ya kushinda kesi
Kabudi alikua rafiki wa mahakama Amicus Curiae kwenye kesi ya mgombea binafsi na akaishauri vibaya mahakama bila kusahau ni wakili wa viti maalumi maana alikua akifeli mitihani ya Bar...
 
Naungana na wewe kumwomba radhi balozi wa Canada kuitwa na Waziri Kabudi. Lakini Nakuhakikishia Nchi ya Canada haipo nyuma ya madai haya. Nasikitishwa Sana na kitendo Cha Waziri kuonyesha udhaifu kwenye tasnia ya sheria Kwa kiasi hiki.Canada watapata maslahi gani?Canada wanatafuta wateja wa kununua Ndege usiku na mchana.Naomba lawama ziende Kwa mkulima
 

Hili jambo si la kisiasa na mahaba.Hili swala si hujuma Kwa Raisi kama ni hujuma ni Kwa Tanzania,Magufuli atapita Tanzania itabaki. Swala la msingi huyu mkulima ana dai au la ! Kama anadai apewe payment promise au wafanye mjadala wa kulipana. Maa
 



Ndio serikari ilichosema, tatizo zinakujaga thread baadae kama hii, mtazamo wa mwanasheria gani msomi ambao wa ovyo kabisa, tweets huko sijui ya nani au nakala za magazeti ambazo zina maudhui tofauti na uhalisia.

Watu mnachangia huko kama icho kitu ndio premise yanini kilichojiri na kuanza kuamini vitu ambavyo havipo; halafu baadae mnataka kusingizia serikari ilisema vitu mlivyookota kwengine kabisa.
 
Povu jingi ila hakuna namna tulipe deni! Wakulima wasipangiwe chakufanya!
 
Wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika mashariki walikwama wapi kulipwa stahiki zao kocha ya kushinda kesi yao ya mazao?
Wangetumia mbinu za mkulima wangeshalipwa siku nyiing sana
 
Taratibu aisee
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Matango pori yapi nawakati mahakama za Tanzania ziliamuru mkulima alipwe usijione unajua kila kitu

Mara lazima aje mahakama za Tanzania, Mara Canada ndo wanaosikiliza angalia unajivyo jicontradict, point ni kwamba atukushinda kesi kama kabudi anavyotaka kuaminisha umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…