Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

Wewe ni kiazi kweli kweli , Mange na Lisu wanausika vipi
Mjue Lissu kwanza na Mange Kimambi na mambo waliyo yafanya hao wawili zidi ya Taifa letu kwanza ndipo uje na maswali ya kibaharia uchwara.
 
Majalala sijui kabobea eneo lipi la sheria.
Lakini tusimlaumu sana. Mawaziri lazima waseme kila ambacho Jiwe anataka kusikia.
Hivi yule Engineer wa lift bado yupo kazini?
Huyo ni profesa wa sheria za mirathi na ndoa - Family Law. Specialization inayodharaulika sana. Hii inasomwa mara nyingi na low brains.
 
Huyo ni profesa wa sheria za mirathi na ndoa - Family Law. Specialization inayodharaulika sana. Hii inasomwa mara nyingi na low brains.
Lakini hujiona anajua sana. Kumbe ni kapi tu.
 
Back
Top Bottom