Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

Nguvu nyingi akili kidogo
 
VUVUZELA. Kilangila.
 
Siyo lazima kuchangia kila hoja hata zile ambazo zipo nje ya uwezo wako. Kilangila.
 
G Sam, Aidha Tundu Lissu alishatushauri kama kweli tunataka kuwa kama tunavyotaka basi tujiondoe kwenye mikataba yote ya kimataifa ikiwemo jumuiya ya madola. Otherwise tutaendelea kunyolewa. Na naamini tukijiondoa basi tutaumia zaidi.

Wew janaman ni fala kweli tunduliso tundulisu sasa kwa akili yako ukishaajiondoa nani. Huyo atakuja kuwekeza kwako sehem isiohakikisha wekezaji na mitaji ya muwekezaji kwa hiyo Tudu akisema na wew kama kasuku unashikilia bango
 

Kikwete ndo aliaachia Wizi wa samaki yeye magufuli alifanya kazi yake , makanjanja wakipewa mlungula wakachomoa baadhi ya Nyaraka
 

Ndo kwanza nasikia kutoka kwako ila kilichomesemwa na mkulima na wanasheria ni tofauti au unazungumzia kesi tofauti na ile ya airbus
 

Kwa nini washike ndege huku kukiwa hawajakabidhi kwa mhusika hayo mamlaka wanayatoa wapi
 
Ndo kwanza nasikia kutoka kwako ila kilichomesemwa na mkulima na wanasheria ni tofauti au unazungumzia kesi tofauti na ile ya airbus

Mkuu

Unasikiliza ukweli wa “Kabudi”?

Jitu ongo hadi kwenye kope?

Be serious mzee!
 
Kikwete ndo aliaachia Wizi wa samaki yeye magufuli alifanya kazi yake , makanjanja wakipewa mlungula wakachomoa baadhi ya Nyaraka
Na mahakama ikaona hao walioshikwa hawakuwa wezi? Au mahakama iliamuru wezi walipwe sadaka tu?
 
Msilete ngonjera hapa na kumdanganya Rais. Lipeni deni la Mkulima. Unaleta lawana kwa wasio husika
 
Diplomasia kwa upande wa Jiwe kama Rais wa nchi kubwa hii, ni almost zero, pia Record ya sifa zake kama mkuu wa nchi ktk nyanja za kimataifa siyo nzuri sana kivile.

kwanza ana umimi unao tia kinyaa!, hatembelei wenzake wakamjua, anajijali sana yeye kwa visingizio vya kufuja pesa ya nchi,

wakati wanajua yeye huyu anapiga cha juu! anajifanya nchi yake tajiri, wakt hayo mapesa anauzia Mabeberu bidhaa! hataki kutembeza kopo! wakati ukweli ni kwamba analishwa/analindwa na silaha zao, Ndege zao, mwanzo mwisho!

Sasa yamemkuta hata Waziri mkuu wa Canada(anayekejeliwa Beberu) hajampigia simu japo kuongea naye tu kuhusu jambo hili,

Hivi ikitokea amaepinduliwa, km yule jamaa yetu Kuku Mbengu, sijui nchi gani itamkubali huyu msukusu, atafia humu,

Milton Obote yeye hakupiga hata simu alikuja tu km kwake vile, wakacheka sana na Nyerere! akamwambia wee subiri/tulia, ataondoka tu yule dogo, na kweli!

Rais gani tena bila aibu unakwepa UNGA eti huna nauli!

Naamini ikitokea akatembea tembea mitaa ya Toronto mchana kweupee! ataonekana km vile Normal Black nigger from de Bush! (kuliko hata millionaire MO!)

hakuna atakayestuka km hivi ''Oooh! whoa! Mr Presdaa! how are you meen?''. haya yalifanyika kwa kina Jakaya, Nyerere tu baasi!
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ilikuwa Hoja Ya Kijinga Sana Kusema Ile Ndege Inatumiwa Na Rais na Watanzania Tukaa Kimyaaa, Haya na Hiyo Bombardier Inatumiwa na Nani Sasa? [emoji28][emoji28] Ili turudishiwe?
 
Sisi haituhusu..tunasubiri kuwapongeza wagombea wetu waliopita bila kuchaguliwa nchi nzima!
 
Kinacho Nisikitisha Sanaaa, Ni Kwamba Waandishi Wetu wa Habari Haya maswalii hawawezi kuhojii Serikali Yetu! Watakacho ambiwaa wao wanakireport kama kilivyoo bila hata kuhojiii! Ndio maana Niliacha Kusoma Magazeti, Radio kusikiliza, Sijui taarifa za Habari huo Ujinga Nilisha Acha baada Ya Kujiunga Jamii Forum!

Wanashindwa Kuhojii kwelii?, Hata Jamii Forum Huwa Hawatembelei wakapata maswali ya kuwauliza hawa Viongozi?

Jamii Forum Idumu Milele! Wanajamii Forum Tunafanyaje Maxmelo Awe Rais?
 
Waende Brazil kama hata huko hazijakamatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…