Maneno Meier JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 2,467 Reaction score 1,697 Nov 24, 2019 #121 Mimi. said: Wewe ni kiazi kweli kweli , Mange na Lisu wanausika vipi Click to expand... Mjue Lissu kwanza na Mange Kimambi na mambo waliyo yafanya hao wawili zidi ya Taifa letu kwanza ndipo uje na maswali ya kibaharia uchwara.
Mimi. said: Wewe ni kiazi kweli kweli , Mange na Lisu wanausika vipi Click to expand... Mjue Lissu kwanza na Mange Kimambi na mambo waliyo yafanya hao wawili zidi ya Taifa letu kwanza ndipo uje na maswali ya kibaharia uchwara.
Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,362 Reaction score 48,879 Nov 24, 2019 #122 Sibonike said: Majalala sijui kabobea eneo lipi la sheria. Lakini tusimlaumu sana. Mawaziri lazima waseme kila ambacho Jiwe anataka kusikia. Hivi yule Engineer wa lift bado yupo kazini? Click to expand... Huyo ni profesa wa sheria za mirathi na ndoa - Family Law. Specialization inayodharaulika sana. Hii inasomwa mara nyingi na low brains.
Sibonike said: Majalala sijui kabobea eneo lipi la sheria. Lakini tusimlaumu sana. Mawaziri lazima waseme kila ambacho Jiwe anataka kusikia. Hivi yule Engineer wa lift bado yupo kazini? Click to expand... Huyo ni profesa wa sheria za mirathi na ndoa - Family Law. Specialization inayodharaulika sana. Hii inasomwa mara nyingi na low brains.
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Nov 24, 2019 #123 Bams said: Huyo ni profesa wa sheria za mirathi na ndoa - Family Law. Specialization inayodharaulika sana. Hii inasomwa mara nyingi na low brains. Click to expand... Lakini hujiona anajua sana. Kumbe ni kapi tu.
Bams said: Huyo ni profesa wa sheria za mirathi na ndoa - Family Law. Specialization inayodharaulika sana. Hii inasomwa mara nyingi na low brains. Click to expand... Lakini hujiona anajua sana. Kumbe ni kapi tu.