Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Dec 11, 2019 #721 Tuandae maandamano kudai ndege yatu kwa Kabudi ili atume wale ma Ninja walioendaga South Africa wakarudi nayo. Sent using Jamii Forums mobile app
Tuandae maandamano kudai ndege yatu kwa Kabudi ili atume wale ma Ninja walioendaga South Africa wakarudi nayo. Sent using Jamii Forums mobile app
T ThemiOne JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 265 Reaction score 342 Dec 11, 2019 #722 Adhani serikali ijitafakari vizuri hasa katika mfumo waloutumia kutangaza hizo tenda (huenda alienyimwa hiyo tenda ndo anashiriki kukwamisha zoezi zima) nawaza kwa sauti Sent using Jamii Forums mobile app
Adhani serikali ijitafakari vizuri hasa katika mfumo waloutumia kutangaza hizo tenda (huenda alienyimwa hiyo tenda ndo anashiriki kukwamisha zoezi zima) nawaza kwa sauti Sent using Jamii Forums mobile app
IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,362 Reaction score 6,274 Sep 25, 2024 #724 Kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee