Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Kwa hiyo serikali inayopiga vita rushwa inatoa rushwa ? Kama kule Bondeni wamelijua hilo heshima yetu imevunjika kabisa.Hiki kikundi kilitumia pesa nyingi South Africa ikiwemo kutembeza Rushwa hakifai kupelekwa popote gharama zake ni kubwa mara mia kupunguza Deni kuliko kugharamia hicho kikundi kwenda tena Canada.
Tumenunua Rufiji kwa Bei gani? Nani katuuzia?Watanzania tupo milioni zaidi ya 50 tunalipa kodi ili kuleta maendeleo nchini
Tunanunua ndege SGR umeme rufiji nk
Leo unachonganisha eti ndege yetu ikamatwe kama kuna mtanzania anafanya hivyo ni laana tu Lilah
Unajua kununua ndege mradi wa SGR,umeme rufiji ni miradi mikubwa sana kwa manufaa kwa watanzaniaTumenunua Rufiji kwa Bei gani? Nani katuuzia?
Ndio njia zenu hizo za kua na kuteka watuZitumike njia za kimafia tu!
Naunga mkono hoja,wanawachelewesha sana!Zitumike njia za kimafia tu!
Inakuwaje kulipa deni unaita MAKOSA?Prof. Kabudi inabidi tuangalie upya uhusiano wetu na Canada, a) Watanzania wangapi wanakwenda Canada kila mwaka? b) Canadians wangapi wanakuja Tanzania kila mwaka? c) What are the trade volumes between our countries and d) Uwezekano wa kusitisha diplomatic relations.
As a Country tunatakiwa sasa Kusuka au Kunyoa. Makosa makubwa yalitokea pale walipoilipa ile kampuni ya Sterling kama sikosei kule Canada kwa sababu ile kesi iliweka precedent.
Naunga mkono Hoja yako kwa 100% hii Tabia ya kutumia Neno uzalendo mabeberu kuharalisha dhuluma ubabe wa kishamba haitasaidia Nchi zaidi ya wajanja kupiga pesa kwa kisingizio cha kusuruhisha kumaliza kesi, pesa inayotumika kupambana na mkulima wa kizungu ni kubwa kuliko kupunguza Deni, wapo wanufaika wa usumbufu huu na hao ndiyo wanamchochea mtukufu malaika azidi kuendeleza ligi na Mzungu.Msamiati wa "hujuma za mabeberu" umepamba moto siku za karibuni kuvuta "hisia za kizalendo".
Hao mabeberu wanaodaiwa kuhujumu Tanzania wameibuka leo? "Political scientists" watakwambia kuwa nchi za Bara la Afrika zilizokuwa zinatawaliwa na wakoloni zina uhuru wa bendera. Kuna Ukoloni Mamboleo ambako, pamoja na mambo mengine, ni kutawaliwa kitamaduni na kiuchumi, na kunyonywa rasilimali (neocolonialism). Hali hiyo itapungua tu kwa nchi kujitosheleza katika baadhi ya mambo.
Ni wakati wa wanasheria kusafiri nje ya nchi kwa gharama kubwa kwenda kutetea taifa. Maswali ya kutaka uelewa: Tanzania kama taifa haiweki kumbukumbu ya madai na madeni yetu ili ulipaji wake uwekewe mikakati na ufuatiliwe?
Serikali izifanyie kazi kumbukumbu za tunavyodai na tunavyodaiwa kama zipo. Iache kulialia kutafuta huruma. Kesi ya madai iliyofunguliwa Afrika Kusini ilitawaliwa na ilimalizwa kisiasa.
Ni wakati wa kutegesha masikio yetu Canada kusikia hatma ya Bombardier Q 400.
Deni la Mzungu sasa ni Dili la wajanja huko CCM, magufuli mtukufu alizuia safari za nje lakini sasa wanasafiri na kulipwa posho pesa nyingi kwa visingizio vya kumaliza Deni la mkulima wa kizungu, wapo wajanja wanapiga pesa kupitia fursa hii hiiInakuwaje kulipa deni unaita MAKOSA?
Watanzania tupo milioni zaidi ya 50 tunalipa kodi ili kuleta maendeleo nchini
Tunanunua ndege SGR umeme rufiji nk
Leo unachonganisha eti ndege yetu ikamatwe kama kuna mtanzania anafanya hivyo ni laana tu Lilah
Wasaliti wa Nchi wajiandae kisaikolojia
Tumenunua Rufiji kwa Bei gani? Nani katuuzia?Unajua kununua ndege mradi wa SGR,umeme rufiji ni miradi mikubwa sana kwa manufaa kwa watanzania