Lakini kitendo cha mbowe kulilia lock down ulikiona Cha kishujaa?Huyo mzee nilimdharau sana alivyokubali kutumika na Magufuli kama mtu asiye na elimu kabisa. Kitendo cha yeye kutumwa kwenda Madagascar kuchukua dawa ya Covid isiyo na udhibitisho wa kimaabara, kisha akaja kunywa mbele ya wananchi, ile ilikuwa ni hatua ya mwisho kabisa ya kuanika ujinga wake. Halafu akawa anaongea kwa sifa za kijinga, eti huko Madagascar rais ndio anagawa hiyo dawa, akidhani tunaona rais ni cheo cha maana sana.
Lakini kitendo cha mbowe kulilia lock down ulikiona Cha kishujaa?
Watanzani wengi wana sifa kubwa zinazofana bila kujali chama au elimu yao.Taifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k.
Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu prof Kabudi kabla ya kuingia katika siasa za CCM watakubaliana na mimi kuwa huyu prof ni smart sana na anaweza kulisaidia taifa letu katika mambo kadha wa kadha ya kisheria.
Ombi langu kwako prof Kabudi na wana taaluma wengine tumieni taaluma zenu kulisaidia taifa letu kwa ujumla na sio kwa manufaa ya kikundi cha watu
HANA LOLOTE HUYO MZEE MNAFIKI SANA HUYO MZEE WA KANYABOYA hana tofauti na MWEBDAZAKE KWA UONGOTaifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k.
Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu prof Kabudi kabla ya kuingia katika siasa za CCM watakubaliana na mimi kuwa huyu prof ni smart sana na anaweza kulisaidia taifa letu katika mambo kadha wa kadha ya kisheria.
Ombi langu kwako prof Kabudi na wana taaluma wengine tumieni taaluma zenu kulisaidia taifa letu kwa ujumla na sio kwa manufaa ya kikundi cha watu
And that’s how they are !!Wasomi wanaojitoa ufahamu 'Herding behaviour' Herding behaviour is an occurrence of thoughtfull people suspending their reasoning because of fear of their leaders or group objective
Mwana mapinduzi Che Guevara alipata kusema “ its better to die standing than to live kneeling 🧎♀️ “Watanzani wengi wana sifa kubwa zinazofana bila kujali chama au elimu yao.
1.Kulalamika: happinex index inaonyesha watanzania hawana furaha kwa sababu wanapohojiwa kazi kulalamika tu
2. Kusifia na kupamba bila kujali uhalisia. Waliomsifia sana Magu leo wamemgeukia maza.
3. Uchawa. chunguzeni... hapa lengo ni maslahi binafsi.
4. Unafiki: hii ni tabia hatari sana inayokula taifa letu...
Kwa hiyo kwa vyovyote profesa ameathiriwa na sifa moja au zaidi kati ya hizo na hii inamfanya asiaminike hata kama alifaulu sana kitaaluma.
Inawezekana !!Wewe umemjua kabudi juzi labda uyo mzee ni zao la Tanu youth
Alijiweka mbali na siasa baada ya Nyerere