mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Na huo ndio ukweli mchungu !!Kamwe! Nchi hii taaluma ni Kweny makaratasi!! Wakishaingia kweny maziwa na asali hata taaluma zao zinatoweka kweny ubongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndio ukweli mchungu !!Kamwe! Nchi hii taaluma ni Kweny makaratasi!! Wakishaingia kweny maziwa na asali hata taaluma zao zinatoweka kweny ubongo.
Hapa huyu mzee alitumika tu na yule mzee aliyekuwa na ukaleHuyo mzee nilimdharau sana alivyokubali kutumika na Magufuli kama mtu asiye na elimu kabisa. Kitendo cha yeye kutumwa kwenda Madagascar kuchukua dawa ya Covid isiyo na udhibitisho wa kimaabara, kisha akaja kunywa mbele ya wananchi, ile ilikuwa ni hatua ya mwisho kabisa ya kuanika ujinga wake. Halafu akawa anaongea kwa sifa za kijinga, eti huko Madagascar rais ndio anagawa hiyo dawa, akidhani tunaona rais ni cheo cha maana sana.