Prof. Kabudi: Rais amenituma kuwashukuru Watanzania kwa maombi, asema ameuona mkono wa Bwana

Wanaingia kwenye kufuru sasa....soon tutaambiwa naye ni "mungu".

Siasa noma sana.
 
Yani katika maprofesa niliowai kuwa dharau kabudi Ni mmoja wapo.

Prof kabudi""""Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote.



Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli,""""
 
Hapa sasa.

Mwenye masikio na asikie!

Tunaye mpaka tuvuke!

Tutavuka lini, na tutajuaje kuwa tumevuka na tusiwe na uhitaji naye tena?
 
Wewe msukule,sayansi ya magonjwa ya kuambukiza unaijua!? Hapo anazungumzia hilo,sio sayansi yako. Kwa nini mnakuwa na vichwa kwa ajili ya kufugia nywele na kubeba masikio,pua,macho na mdomo? Kwa nini mnaipa viwiliwili vyenu mzigo wa kubeba "mamumunye"!?
 
Alichoumba mwenyezi Mungu hakina makosa.
 
 
Hatuna dawa iliyothibitishwa kutibu. Na hatuna scientific evidence zinazoonyesha kuwa hatua ni sahihi. Kisiasa na ki -mataga unawezajisemea chochote , lakini mwenye macho haambiwi tazama!
 
Napita tu. Ila nasubiri mkakati wa serikali kupima corona watu wengi iwezekanavyo na kutoa majibu kwa uwazi na ukweli kama WHO inavyoshauri. Na vifo vyote vya watu wenye kufa na dalili au kuthibitishwa na Corona viwekwe wazi. Nitasubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu Watanzania wengi akili zao bado zimeshikiliwa na wazungu. Sasa waliokufa ni wazungu wengi hasa USA, UK, Spain nk. Sasa leo hii wanabeza juhudi za taifa la Tanzania chini ya uongozi wa JPM.
Kifo si mashindano. Binafsi siwashabikii wazungu kabisa. Na sio kwamba eti mbinu zao hazifanyi kazi ..mbinu za jpm ndio bora zaidi.. hapana.
Sweden ni nchi iliyokataa kufunga mipaka sisnce day one.. angalia stats zao.. haziko njema.

Kinacho wakosti britain na USA ni kuchukulia powa pale walipopewa onyo. Tena hapa tunaanza na USA.. walijulishwa toka mwaka jana mapema. Na vyombo vya usalama waliandika barua kuwa kuna upcoming pandemic.. trump akadharau.. china wamefichaa wee ishu ikajulikana.. lakin na madhara yote trump akawa anapiga siasa tena akakiita kirusi cha wachina.

Ulivyokuja ingia kwake akaja shtuka too late. Unakuja weka lockdown ugonjwa umeshaingia ndani.
Britain nao yale yale. Mizaha
Wamekuja shtuka ngoma iko ndani.
Italy the same.
Wangeweza kupunguza idadi kama wangekuwa makin kabla gonjwa halijaingia. Leo hii wanashindwa na ujerumani.. wanashindwa na south korea..
Hili wamejitakia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…