johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameihakikishia Jumuiya ya kimataifa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki hivyo wasiwe na wasiwasi.
Prof Kabudi amesema bunge limeboresha sheria ya vyama vya siasa ili kuondoa malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wanasiasa.
Kabudi amesema hayo kwenye mkutano wa Jumuiya ya madola
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!