Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde

Like the proverbial Ostrich with his Head in the Sand
 
Nina mashaka na hili... kwani ili iitwe walifunga inatakiwa iwe siku ngapi..??? Kwani kufunga na kusimamisha shughuri ina tofauti gani..!?? Halafu yeye ni msemaji wa serikali ya Zambia..??
 
Haha lugha tofauti maana ileile. Huyu jamaa uprofesa aliupataje? Tufuatilie vizuri inaweza kua alichakachua kama bashite au kale kadawa ka madagascar kameanza kumchanganya akili
 
Rejea kauli ya waziri wa afya zambia
Waziri wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufya alisema Rais Edgar Lungu aliagiza mpaka huo ufungwe kuanzia Mei 11, 2020

Ongeza na chapisho lake jingine kama lilivyoandikwa na AA

The period for the temporary closure of the Nakonde border will be determined by how the disease progresses, he added ....
 

Hii ni wishful thinking ambayo hata misukule hawawezi kuishadadia. Alichofanya Edgar Lungu liko wazi mno kwenye public domain:

Zambia shuts border with Tanzania over virus spread fears | Africanews

Somi likiwa na njaa inakuwa ya kiwango cha uzamivu pia.
 




Hukumtendea haki Waziri kwa kushindwa kuweka ukweli aliosema Bungeni.
Typical JF propaganda.
 
Sentensi ya 1 inakinzana na sentensi ya 2.
Ile alkasusu ya madagascar iliyofatwa kwa ndege imeanza kutoa matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…