MR. IBU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,380
- 2,965
Kweli ni gwiji,anakataa hawaja funga mipaka hapohapilo anasema wamesitisha shughuli kufanyika..mwambie kabudi aende mpakani aone kunanini kinaendelea ila kwakuwa waliobaki bungeni wote ni mazwazwa si shangai majibu kama hayo.Palamagamba ni gwiji la diplomasia