Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde

Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde

Palamagamba ni gwiji la diplomasia
Kweli ni gwiji,anakataa hawaja funga mipaka hapohapilo anasema wamesitisha shughuli kufanyika..mwambie kabudi aende mpakani aone kunanini kinaendelea ila kwakuwa waliobaki bungeni wote ni mazwazwa si shangai majibu kama hayo.
 
Vichaa wanapokutana akili zao huwa zinawadanganya kuwa wako timamu kuliko wanao wasikiliza. Nenda milembe kaone
 
Hivi jamani tuwe wakweli, Nchi ya Kenya walikuwa na Lock down au Curfew?. Kwa sababu Kenya waliweka muda wa kutotoka kuanzia saa moja jioni mpaka Saa kumi na mbili asubuhi(07:00pm-06:00am) , lakini mchana wote watu wanazagaa mitaani wakiwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
 
Sasa sijui tumuamini nani yani hii serikali wanatuchanganya sana
Zambia wametoa notes leo kusisitiza wamefunga mpaka wa Nakonde
IMG_20200514_162030.jpeg


iphone XS
 
Huyo kabugi palamajamba kazi yake ni kukanusha tu
 
Back
Top Bottom