Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde

Kumbe ganja ya dodoma nayo ni nomaaa!

semper fidelis
 
Prof wa jalalani anajua kucheza na lugha kweli kweli. Eti hawajafunga bali wamesimamisha shughuli za mpakani kwa muda...Hahahaaaaaaaa!
 
Tanzania tunasoma kwa ajili ya kubadilisha mboga na mavazi tu lakini kichwani empty!!

Prof. Hawajafunga ila wamesitisha kwa muda! Ni sawa na kusema hawajafunga ila wamefunga kwa muda. Not closed but temporarily closed.!!!

Yani prof hajui hata miaka 3 bado unawezasema wamefunga kwa muda tu wa miaka 3??
 
Tuliopo Hapa mpakani hakuna shughuli zinazoendelea iwe kwa watembea kwa miguu au gari kuvuka mpaka wa Zambia..
 
hamuna waziri humu hewa kabisa. profesa zima limekalia kupiga siasa.
inchaji hakuna anaependa kutukanwa jamani, hamkumbuki mzee baba alisema "ndiyo maana nawatukana ingawa mumenizidi umri" sasa propesa angefanyaje katika hali kama hiyo?
Huku akikiri mwenyewe kuokotwa majalalani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani jamani tutawafanya watanzania wajinga mpaka lini as they don't understand what's going on globally?
Matamko yanayotoka ni ya sera za kizamani sana yanayopaswa kutolewa katika nchi za kusadikika, katika nchi za kikomunist na si Tanzania ya sasa inayopata taarifa kila pande za dunia hii.
Wazee badirisheni njia za siasa mzitumiazo vinginevyo.....
 
Wanafanikiwa maana awareness ya wananchi ni ndogo lolote litakalotangazwa ni sawa tu
Na ndiomana wanadumaza elimu🤔
Ni jitihada gani zilizofanyika kuinua kiwango cha elimu cha mtanzania miaka 5 iliyopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…