Prof Kitila: Bajeti ya 2025|26 miradi mikubwa itatekelezwa kwa PPP


23 September 2024
New York City

Mahojiano na rais Cyril Ramaphosa kuhusu jinsi 4R zilivyoiinua imani ya wananchi na wafanyabishara ndani ya nchi na wale wawekezaji kutoka nje


JINSI CYRIL RAMAPHOSA ANAVYOTUMIA 4R ZA UKWELI, KAMA ZANA YA KUVUTIA MAENDELEO


View: https://m.youtube.com/watch?v=4gF-YkcFMFQ Kwa kujivunia kutoka moyoni bila kuwa na ulaghai wa kutumia 4R kuwezesha chama chake pekee kuwa na wabunge 100% bunge la taifa na bunge la majimbo, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa wa South Africa anajivunia jinsi ANC ilivyovuna 40 % ya kura huku chama kinachofuatia DA 21 % huku asilimia zilizobaki 39% zimegawana vyama vingine vidogo.

Kupitia 4R za ukweli nchi inaendelea kuwa na mihimili huru ya Bunge, Mahakama na vyombo vya habari.

Hali hiyo imewapa imani wawekezaji wa ndani wana imani kuwekeza zaidi ndani na pia hali hiyo inavutia wawekezaji zaidi kutoka nje.

Kutokana na kuwa na kuaminiana ndani, South Africa imekuwa mfano kwa mataifa dada jirani zilizo nchi za SADC na mbali zaidi.

4R za ukweli zisizo na hila ovu zimemuondolea rais wa South Africa kutokukosa usingizi na kuwaza kutumia majeshi ya usalama kama polisi na usalama wa taifa kuwatishia raia.

kutokana na mazingira mazuri yaliyoletwa na 4R kupitia serikali ya Umoja wa Kitaifa GNU, sana nchi ina nafasi ya kutumia viongozi wa vyama vingine vya kisiasa katika kulitumikia taifa ktk nafasi za kiuongozi na hivyo nchi kufaidika na kila raia aliye na upana wa maono bila kujali wametoka vyama vingine.

Tofauti na kama ingekuwa utawala wa kimabavu, kuzuia raia kufikia nafasi za kiuamuzi kupitia kura walizopata baada ya kuaminiwa na wapiga kura waliowacgagua katika uchaguzi ulio wazi, huru na wa haki kuanzia ngazi ya mchakato wa mikutano ya vyama vyao, kampeni hadi kutangazwa wameshinda.

Source: SABC News
 
Lakini Kwa nchi kama zetu hizi za 10% PPP haiwezi kukubalika na wenye mamlaka, Watu walizoea kutumia pesa ya Serikali kujenga miradi na kuzigeuza kuwa zao na hata wakikupa kazi lazima uwaache na chochote,PPP mpaka ipenye sio rahisi
Wako huu ni uongo tu
 
Huwa namwamini sana Prof Kitila
 
PPP sio ubinafsishaji ila ni Ubia,
Ubia maana yake wote share
Sasa huo ubia ipoje?? Na kama 50% au 51% n.k
Pili moja Akita kujitoa inakuwaje??? Kama hujasikia MTU kuwekeza $30m lakini akitaka kutoka unamlip $300m.
 
Sasa huo ubia ipoje?? Na kama 50% au 51% n.k
Pili moja Akita kujitoa inakuwaje??? Kama hujasikia MTU kuwekeza $30m lakini akitaka kutoka unamlip $300m.
Swali fikirishi je mazingira ya biashara Tanzania ni wezeshi?
 
Hii nimeipenda sana
 
Lakini Kwa nchi kama zetu hizi za 10% PPP haiwezi kukubalika na wenye mamlaka, Watu walizoea kutumia pesa ya Serikali kujenga miradi na kuzigeuza kuwa zao na hata wakikupa kazi lazima uwaache na chochote,PPP mpaka ipenye sio rahisi
Watendaji wengi wa gavoo wamezoea 10 % huu utakuwa kama utamaduni mgeni kwao.
 
Tatizo la huyo Kafulila ni Uraia japo ni mjapakazi mzuri ila kila kizuri kinakasoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…