Prof Kitila: Bajeti ya 2025|26 miradi mikubwa itatekelezwa kwa PPP

Kitila anasrahili Urais
 
Kwani tatizo ni unyiramba?
Huwezi ukaweka kabila moja hasa wasiojitambua hata kwao ktk nyadhifa za aina moja ukafanikiwa. Waziri wa mipango ( Mnyira) anampangia Waziri wa Fedha ( Mnyira) kutekeleza hiyo mipango huku Katibu mwenezi ( Mnyira) akizunguka nchini kuisifia. Wakati huohuo, Katibu wa Wazazi( Mnyira) akituliza Wazee kuwa mambo yako sawa. Hayo yote yakitendeka chini ya Mkuu wa Ulinzi ( Mnyira) ambaye atadhibiti atakaeenda kinyume na yale yanayosemwa na hiyo chain. Huenda hao wote hukaa meza moja na kuongea kikwao wanapoweka mambo sawa.
 
Kitila ni mtu makini kwa miaka mingi tu
 
Ccm buana wameibuka na.ppp. waliibuka.na.kilimo kwanza. Mara ari mpya kasi mpya sasa PPP.

Tutasubiri mrejesho wa PPP
 
Kafulila na PPP ni kama Mapacha
 
Ukiona hivyo ujue wanataka kuwapa wahindi na waarabu miradi mikubwa ambayo tayari serikali imewekeza hela za umma nyingi. Tunajua kampuni kama adani ya india kazi yao ni kujidai kuwekeza eti kuendesha miradi ambapo serikali tayari wamewekeza mabilioni. Eti kuendesha ndio wawape wahindi. Sasa ufundi waswahili hatujaweza bado kutengeneza mashine zetu kama engine na teknolojia za kisasa. Hata kuendesha hatuwezi wakati tunmesoma na tunasomesha watoto uhasibu na uongozi? Yaani tunaleweshwa na rushwa za wahindi na waarabu kwamba hatuwezi ili tuwape wafanye na kutupora hata kwa kile tunaweza. Tunachohitaji ni uongozi bora. Sasa uhuru tulitaka wa nini kama bado tunataka uchumi na mambo yetu ya maarifa wafanye wageni.
 
mnatuchanganya sasa, kafulila anaongea lwake kitilla nae kivyake
 
Lakini Kwa nchi kama zetu hizi za 10% PPP haiwezi kukubalika na wenye mamlaka, Watu walizoea kutumia pesa ya Serikali kujenga miradi na kuzigeuza kuwa zao na hata wakikupa kazi lazima uwaache na chochote,PPP mpaka ipenye sio rahisi
Hii hofu yako tu
 
Natamani siku moja huyu Prof Kitila mkumbo apewe nafasi ya juu atasaidia sana hii nchi
 
PPP ndio njia pekee isiyo ghali lakini maendeleo
 
Kazi iendelee
 
Mkianza kutekeleza hiyo ppp ndiyo nchi itakapo haribikia hapo, kujitoa hamtaweza maana nchi itakua siyo ya kwenu tena! Si muliunda mahakama ya mafisadi? Huko ndiko Hela zinakopotelea. Mkianza kukabidhi uchumi Kwa watu binafsi Hakuna nchi tena hapo. Ninayo mengi, ila ngoja nikae palee save hii msg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…