CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Yeye Mkumbo ndiye hana akili kabisaWaziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia
Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa
Jumaa Mubarak π
View attachment 3204179
Jamani msiumie bure, hivi mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuwa CCM kwa mambo ambayo inafanya sasa hivi?Kitila kasema uongo. Anataka kutufanya sote ni Ccm ampapo hakuna uwazi katika demokrasia na uchaguzi wowote. Nenda Kenya, uchaguzi uliopita, Rais Uhuru Kinyata alimtosa Rutto aliyekuwa Makamu wa Rais. Ruto kaendesha kampeni bila msaada wa Ikulu, mwisho kashinda uchaguzi na kuwa Rais wa Kenya ya sasa.
Ukiwa msomi ukaingia kwenye siasa lazima kuna asilimia kubwa ya kugeuka na kuwa zero brainWaziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia
Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa
Jumaa Mubarak π
View attachment 3204179
VICHAA SIO LAZIMA WAVAE HOVYO NA KUOKOTA MAKOPO.Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia
Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa
Jumaa Mubarak π
View attachment 3204179
Wanaahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima dataJamani msiumie bure, hivi mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuwa CCM kwa mambo ambayo inafanya sasa hivi?
Kuwa CCM uwe mnufaika aidha kwa uchawa, maslahi kwenye vyombo vya maamuzi, ulinzi wa mambo haramu kama muuza pembe za ndovu Kinana kastaafu kwa heshima au uwe mpumbavu.
Wengi ni wapumbavu hawanufaiki ila wameamua kuipenda kama mimi ninavyoipenda Yanga. Ikishinda nafurahia ikifungwa naumia lakini siiachi.
Kitila kafuata maslahi CCM atafanya kila jitihada kuwafurahisha waliompokea na kumpa ulaji, ni wa kupuuzwa tu.
Niwapumbavu, mpumbavu ni mtu ambae amebobea kwenye jambo fulani halafu anaahirisha kufikiri kwa nafsi a k.a kujizima dataKuna mama Moja mzanzibari aliwai kumwambia kitila ajui chochote lkn anajifanya kuijua Kila jambo.. Walichofanya cdm si kitu kibaya inaweza kuwa somo kwa vyama vingine duniani. Kosa lipi hapo?
Aliwai? π³Kuna mama Moja mzanzibari aliwai kumwambia kitila ajui chochote lkn anajifanya kuijua Kila jambo.. Walichofanya cdm si kitu kibaya inaweza kuwa somo kwa vyama vingine duniani. Kosa lipi hapo?
atii!,Hata kwa wakina Trump huwa wanafanya kama CCM?
Hii kwani sjida hapo ni nini mbona ni sawa tu ndio maana ya democracy hiyo..Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia
Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa
Jumaa Mubarak π
View attachment 3204179
HUYU NI MPUMBAVU.Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia
Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa
Jumaa Mubarak π
View attachment 3204179
Chama chenye uhai lazima kiwe kinazikabili changamoto, yeye huko aliko anafugwa tuhivi chama kinaweza kuwa na akili kweli? au alimaanisha wanachama
Kitila Toka aanze kukunja noti huko ccm akili zinazidi kupotea tu...Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia
Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa
Jumaa Mubarak π
View attachment 3204179