Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

Mpaka lini mtakuwa mnatafuta watafiti wa nje?
Hao wataalamu walikosomea kwanini na nyie msiwafundishe vijana wenu au ni vilaza na hamjiamini?
Kila leo mnaona wao ndio wabora zaidi ila hamtaki kuwa kama wao
Maskini jeuri nyie
 
Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo.

Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%. Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR), mkakati wa Tanzania ni kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika utafiti, uchimbaji na kuongeza thamani ndani ya nchi.

Tumeweka wazi duniani kote kuwa tunataka wawekezaji watakaosafirisha betri za magari na sio madini ya kimkakati kwa lengo la kutengeneza betri hizo nje ya nchi.

Kuhusu uchumi wa buluu, tumesaini mkataba kwa lengo la kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya uvuvi, kujenga bandari za uvuvi na viwanda vya kuchakata Samaki.

Eneo lingine ni ushirikiano katika teknolojia ikiwemo kujenga chuo cha TEHAMA nchini.

Pia Soma:

 
Kila nikitafuta mkopo wa Korea kwa Tanzania nakutana na kiunganishi cha madini katika lugha tofauti na ile ya msomi wetu, ni mimi ndo naona vibaya, au vyanzo tofauti vinanipotosha?



 
Sawa Kitila, tunatunza hii tweet yako. Ole mambo yawe tofauti hakika chuki za watanzania zitawaka juu yako
 
Tanzania imepata mkopo nafuu, hongera sana mh. SSH.
-WALE WATIIFU WA RADIO MBAO NA NEGATIVITY LOVERS, AND HATERS - kazi kwenu.
 
Kikwete: Fedha za escrow sio za serikali.
Naimani huyo jamaa yuko behind what is happening currently. He must be Engineering the whole course and unneccessary trips za Kizimkazi.

Shida ya mwanamke ukishakamata ufahamu wake unaweza kumtumia utakavyo.Ni kubaya sana kumweka manzi kwenye eneo la final say because she can be easily manipulated kwa maslahi ya aliekamata akili yake.
 
Kitila ni msomi mjinga anayeishi kwa kujikomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…