Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

Hivi nyinyi Umbwaaa wote
Mnataka nini katika uwekezaji, mnataka nani aje kuwekeza?
Mnataka kuzaa halafu mnaogopa kutoa nyuchi
Kila siku tukisema nyerere kawavuruga na kuwajaza tope na kamasi kichwani tunakosea
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini.

Soma:
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kitila Mkumbo ameandika:

URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%.
Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR), mkakati wa Tanzania ni kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika utafiti, uchimbaji na kuongeza thamani ndani ya nchi.
Tumeweka wazi duniani kote kuwa tunataka wawekezaji watakaosafirisha betri za magari na sio madini ya kimkakati kwa lengo la kutengeneza betri hizo nje ya nchi. Kuhusu uchumi wa buluu, tumesaini mkataba kwa lengo la kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya uvuvi, kujenga bandari za uvuvi na viwanda vya kuchakata Samaki. Eneo lingine ni ushirikiano katika teknolojia ikiwemo kujenga chuo cha TEHAMA nchini.
PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

President Yoon meets leaders of Tanzania, Ethiopia ahead of Korea-Africa Summit​

Seoul described the meetings as a stepping-stone for Asia's fourth-largest economy to weather the transnational crises through increased strategic cooperation with the African continent.

Son Ji-Hyoung

Son Ji-Hyoung​

The Korea Herald
rrrrrrrrr.jpg

President Yoon Suk Yeol (fifth from left) hold talks with Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed Ali (fourth from left) during a summit on the sidelines of the 2024 Korea-Africa Summit held June 2. PHOTO: PRESIDENTIAL OFFICE/ THE KOREA HERALD
June 3, 2024

SEOUL – President Yoon Suk Yeol on Sunday held two rounds of bilateral talks with Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed Ali, respectively, on the sidelines of the 2024 Korea-Africa Summit scheduled for later this week in Seoul.

Seoul described the meetings as a stepping-stone for Asia’s fourth-largest economy to weather the transnational crises through increased strategic cooperation with the African continent.

The Korean president and Hassan held a summit-level working lunch at Yoon’s office in Yongsan-gu, Seoul on Sunday, according to the presidential office. This followed Hassan writing in the guestbook and a pact-signing ceremony.

According to president Yoon’s office, the two nations initiated talks over the Economic Partnership Agreement to diversify trade goods.

The two leaders also acknowledged South Korea’s $2.5 billion commitment to Tanzania through the Korea Economic Development Cooperation Fund by 2028 to help improve living conditions and boost economic growth for Tanzania.

The two also signed memorandums of understanding, including one meant for Tanzania’s stable supply of key materials to South Korea.South Korea established diplomatic ties with Tanzania in April 1992.
 
Description​

Pres. Yoon meets with leaders of Tanzania, Ethiopia ahead of Korea-Africa Summit 2024

Arirang News

3 June 2024
#Africa
#아프리카
#윤석열

양자 회담 잇따라, "핵심광물 협력 기반 마련"
Ahead of the Korea-Africa Summit, which starts tomorrow , President Yoon Suk Yeol met the leaders of Tanzania and Ethiopia over the weekend.Through these meetings, Seoul aims to build a robust partnership with these countries while looking to secure key mineral resources.Our Kim Jung-sil reports.

With the much anticipated first-ever Korea-Africa Summit just one day away, the South Korean President met with the leaders of Tanzania and Ethiopia over the weekend.At a lunch meeting on Sunday, President Yoon met with Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and signed an MOU on the stable supply of key minerals.

President Yoon expressed his hope for a swift conclusion of negotiations for an Economic Partnership Agreement between the two countries.

President Hassan said she hopes more South Korean companies will participate in Tanzania’s development projects.
 
Tuna katiba ya kijinga sana, huyu mama hata akikopa trillion 200 siku akitoka madarakani hakuna wa kumshtaki wala kumhoji, siku wakimpa miaka mingine mitano ntaamini hakuna wanaume tanzania
You will be suprised na atapewa
 
Hu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini.

Soma:
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kitila Mkumbo ameandika:

URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%.
Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR), mkakati wa Tanzania ni kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika utafiti, uchimbaji na kuongeza thamani ndani ya nchi.
Tumeweka wazi duniani kote kuwa tunataka wawekezaji watakaosafirisha betri za magari na sio madini ya kimkakati kwa lengo la kutengeneza betri hizo nje ya nchi. Kuhusu uchumi wa buluu, tumesaini mkataba kwa lengo la kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya uvuvi, kujenga bandari za uvuvi na viwanda vya kuchakata Samaki. Eneo lingine ni ushirikiano katika teknolojia ikiwemo kujenga chuo cha TEHAMA nchini.
PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
Huyu mtu ndio hatumuamini kabisa! Bora angefunga domo lake.
 
Kitila Mkumbo kama ni URONGO, basi tuwekee hapa mkataba wote nasi tuusome.

Ni jadi yenu kuanusha:
1. Dp world mlikanusha.
2. Ngorongoro mlikanusha.
3. Loliondo mlikanusha.
Tofauti ya namba 2 na 3 hapo ni nini? Nipe maelezo
 
Kwa akili ya kawaida, mkopo unaochukua muda mrefu kulipwa ndo unagharimu zaidi ya unaolipwa kwa muda mchache. Kwa hiyo kwa miaka 40 ijayo tutakua bado tunalipa deni? In what world is this a good defense?
 
Yeye mwe
Ila Watanganyika malofa sana.
Imagine mtu tena mwanamke anatoka nchi yake anakwenda kuwatawala Watanganyika nao wanakubali eti kisa katiba inasema hivyo.
Mbona katiba ya kwao huyo mama haimpi ruhusa Mtanganyika hata kumiliki mita 4 za mraba huko kwao?
Katiba ni kijitabu tuu
 
Hii inchi sa100 anachojua ni kukopa tu for real inaumiza sana.

Mbona faida ya hiyo mikopo haionekani?
 
Korea atakua chizi basi ... Yaani akupatie $2.5B kwa 0.01% alafu akupe muda wa 40yrs!?... Unless kama hiyo 2.5 katoa rushwa hili apatiwe Mali asili... yaani NCH kila siku mnayosemaga mlikua mnalingana nayo kiuchumi few decades ago...hawakufika pale kwa ujinga huo ambao ata Doctor Msukuma hawezi ku- endorse.
 
Tofauti ya namba 2 na 3 hapo ni nini? Nipe maelezo
Kamata mmasai mmoja jirani yako hapo mkuu atakupa ufafanuzi. Loliondo na Ngorongoro kuna mfanano lkn pia kuna tofauti kubwa sana.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini.

Soma:
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kitila Mkumbo ameandika:

URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%.
Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR), mkakati wa Tanzania ni kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika utafiti, uchimbaji na kuongeza thamani ndani ya nchi.
Tumeweka wazi duniani kote kuwa tunataka wawekezaji watakaosafirisha betri za magari na sio madini ya kimkakati kwa lengo la kutengeneza betri hizo nje ya nchi. Kuhusu uchumi wa buluu, tumesaini mkataba kwa lengo la kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya uvuvi, kujenga bandari za uvuvi na viwanda vya kuchakata Samaki. Eneo lingine ni ushirikiano katika teknolojia ikiwemo kujenga chuo cha TEHAMA nchini.
PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
Much respect kwa madam president mama Samia suluhu hassani namkubali mama na nampenda Sanaa rais WETU..

NB.
Hotuba ya mama samia Jana pale chuo kikuu Korea nili observe vitu kadhaa
*Siku pendezwa na deliverance ya speech yake sorry to say kwa tulio pitia shule kuanzia secondary school yaan morning talk, debate mpaka kufika chuo kikuu Ile speech deliverance yake unaona kabisa hakua prepared yaan alikua shallow in deep kwa usomaji ule na uwasilishaji ule.

All in all mungu mbarik rais wetu mungu ibarik TANZANIA
 
Back
Top Bottom