gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini.
Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kitila Mkumbo ameandika:
URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%. Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR), mkakati wa Tanzania ni kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika utafiti, uchimbaji na kuongeza thamani ndani ya nchi. Tumeweka wazi duniani kote kuwa tunataka wawekezaji watakaosafirisha betri za magari na sio madini ya kimkakati kwa lengo la kutengeneza betri hizo nje ya nchi. Kuhusu uchumi wa buluu, tumesaini mkataba kwa lengo la kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya uvuvi, kujenga bandari za uvuvi na viwanda vya kuchakata Samaki. Eneo lingine ni ushirikiano katika teknolojia ikiwemo kujenga chuo cha TEHAMA nchini.PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
Mtakapohisi?? Sawa basi endeleeni kuhisi!!
You will be suprised na atapewaTuna katiba ya kijinga sana, huyu mama hata akikopa trillion 200 siku akitoka madarakani hakuna wa kumshtaki wala kumhoji, siku wakimpa miaka mingine mitano ntaamini hakuna wanaume tanzania
Anza kuamini kuanzia sasa,wewe si mwanaume ila mimi nitampa kura na nitaendelea kuwa mwanaume,mikumi tena kwa mama samia, siku wakimpa miaka mingine mitano ntaamini hakuna wanaume tanzania
Huyu mtu ndio hatumuamini kabisa! Bora angefunga domo lake.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini.
Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kitila Mkumbo ameandika:
URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%. Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR), mkakati wa Tanzania ni kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika utafiti, uchimbaji na kuongeza thamani ndani ya nchi. Tumeweka wazi duniani kote kuwa tunataka wawekezaji watakaosafirisha betri za magari na sio madini ya kimkakati kwa lengo la kutengeneza betri hizo nje ya nchi. Kuhusu uchumi wa buluu, tumesaini mkataba kwa lengo la kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya uvuvi, kujenga bandari za uvuvi na viwanda vya kuchakata Samaki. Eneo lingine ni ushirikiano katika teknolojia ikiwemo kujenga chuo cha TEHAMA nchini.PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
🤣 🤣 🤣Dr Kafulila anasemaje? 🐼
Tofauti ya namba 2 na 3 hapo ni nini? Nipe maelezoKitila Mkumbo kama ni URONGO, basi tuwekee hapa mkataba wote nasi tuusome.
Ni jadi yenu kuanusha:
1. Dp world mlikanusha.
2. Ngorongoro mlikanusha.
3. Loliondo mlikanusha.
Siyo kweli, caption haiendani na kilicho kwenye content
Wewe naye ni zaidi ya popoDr Kafulila anasemaje? 🐼
Katiba ni kijitabu tuuIla Watanganyika malofa sana.
Imagine mtu tena mwanamke anatoka nchi yake anakwenda kuwatawala Watanganyika nao wanakubali eti kisa katiba inasema hivyo.
Mbona katiba ya kwao huyo mama haimpi ruhusa Mtanganyika hata kumiliki mita 4 za mraba huko kwao?
Kamata mmasai mmoja jirani yako hapo mkuu atakupa ufafanuzi. Loliondo na Ngorongoro kuna mfanano lkn pia kuna tofauti kubwa sana.Tofauti ya namba 2 na 3 hapo ni nini? Nipe maelezo
Much respect kwa madam president mama Samia suluhu hassani namkubali mama na nampenda Sanaa rais WETU..Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini.
Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kitila Mkumbo ameandika:
URONGO. Hakuna masharti kama hayo. Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%. Kuhusu madini ya kimkakati (strategic mineral resources-SMR), mkakati wa Tanzania ni kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika utafiti, uchimbaji na kuongeza thamani ndani ya nchi. Tumeweka wazi duniani kote kuwa tunataka wawekezaji watakaosafirisha betri za magari na sio madini ya kimkakati kwa lengo la kutengeneza betri hizo nje ya nchi. Kuhusu uchumi wa buluu, tumesaini mkataba kwa lengo la kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya uvuvi, kujenga bandari za uvuvi na viwanda vya kuchakata Samaki. Eneo lingine ni ushirikiano katika teknolojia ikiwemo kujenga chuo cha TEHAMA nchini.PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
Wewe ni zaidi ya mchungaji MsigwaWewe naye ni zaidi ya popo