Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

Time is makangability 😂😂😂
 
Najiuliza chombo kikubwa kama VOA kinatudanganya kwa maslahi ya nani?? Tena South Korea ambao ni washirika wa USA.

Nyie viongozi muelewe hamtadumu milele haiwezekani nchi inauza kila kitu yaani haya mambo gani?? Bahari muuze
mbuga muuze
Bandari muuze sasa nyie watu mnaweza kusimamia nini?? Kama kila kitu mnauza nyie mnatuona sisi wajinga sana sio??
Hii nchi sio yenu sio ya ndg zenu sisi wote tunahusika hapa msituone sisi maboya.
 
Hivi kweli mpaka Leo tumekosa watu wa kutukomboa?
 
hiyo miaka 40 yeye hatakuwa kaburini kukwepa lawama za waliopo
 
Viva Samia Viva, mkono usioweza kuukata unaubusu viva Suluhu kutupa chombo, mambo gani kulala na njaa wakati una kihenge kisa huwezi kufunua, tafuta wenye nguvu funua pakua ulishe watoto,
 
Sasa kama ni mkopo wa awu ya pili ya ushirikiano why akope pesa atakayo lipa kwa miaka 40?
 
katiba inadilishwe kila Rais akiingia madarakani awe analoweza kulipa kipindi cha utawala wake.

Huyu Mathee anatuingiza box vibaya mnnoo.
 
Enzi zetu O level kwenye debating 😀😀
Hata Kama una presentation kwenye halaiki hutakiwi kuinamia makaratasi Kama alivyo kua anafanya Mh.rais wetu kule Korea it means hakua prepared ku delivery speech..

Ukibisha angalia speech za watu mbali mbali ujionee uwasilishaji wao wa speech wakiwa katika vyuo vikuu mbalimbali..
 
Ha
Hakuna mwana siasa wa mwanaccm ambaye ni mkweli.sahau hao watu wameishatuona watz ni mazwaza hivyo wanatuchezea sana.tufanye maamuzi kama walivyofanya waafrika kusini.shida yetu hata vijana wa kitz ni machawa.
 
Kuna serikali yyt duniani inaweka mkataba hadharani...nitajie 2 tuu unazozijua
 
Tuna katiba ya kijinga sana, huyu mama hata akikopa trillion 200 siku akitoka madarakani hakuna wa kumshtaki wala kumhoji, siku wakimpa miaka mingine mitano ntaamini hakuna wanaume tanzania
Akikopa kama yeye binafsi anakuwa na haki ya kulipa madeni yote lakini anapokopa akiwa na kofia ya rais inakuwa imekopa taasisi ya urais.

Unasumbuliwa na inferiority complex ya kuongozwa na mwanamke, hayo ni matatizo yako binafsi.
 
Akikopa kama yeye binafsi anakuwa na haki ya kulipa madeni yote lakini anapokopa akiwa na kofia ya rais inakuwa imekopa taasisi ya urais.

Unasumbuliwa na inferiority complex ya kuongozwa na mwanamke, hayo ni matatizo yako binafsi.
Tatizo sio swala la kukopa, tatizo hizo pesa zinapelekwa kwenye miradi Gani, kwenda kukopa mikopo ambayo huwezi Kuja kuisimamia ikaibiwa na wahuni wachache alafu uwaachie watu wake kulipa kwa Riba si sawa


Am far away kua na inferior complex eti kisa ni mwanamke, she is just weak and no where near deserving to hold such a post, it is what it is!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…