Prof.Kitila Mkumbo atabadilisha sana mipango ya nchi hii, msikilizeni TBC akieleza mipango ya nchi

Habari yako chawa wa kitila mkumbo
 
Watu Wana discuss mipango ya Kitila wewe unakimbilia CHADEMA
Na wewe badala ya kujikita huko, unahangaika na kukimbilia kwangu eti kwa sababu nimeitaja CHADEMA.
Hujakatazwa, sijamkataza, wala kumshawishi mtu yeyote yule asi discuss mipango ya Kitila.

Usinipangie
0-0
 
Profesor tapeli
 
Mipango mizuri ni ambayo ni shirikishi
 
Hana lolote jimboni kwake hali tete kuna barabara za mitaa zilikua kwenye mchakato wa ukarabati kashindwa kusimamia mpaka sasa wananchi wanashindwa kutumia usafiri umekua mgum kwa sababu ya ubovu wa njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…