Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Habari yako chawa wa kitila mkumboNasikia burudani sana jinsi msomi huyu anavyowasilisha hoja mbalimbali za mipango ya wizara yake.
Nna uhakika mkubwa sana nchi inakwenda kubadilika kutokana na mipango mizuri iliyowekwa na serikali ikitokana na ubunifu wake mkubwa.
Amejikita sana kwenye kuinua uchumi hasa maeneo ya kilimo, biashara, viwanda na usafirishaji.
Tusikilize hoja zake kwa niaba ya serikali ndio tutatujua serikali hii inatenda zaidi kuliko kelele.
Nainjoy sana kumsikiliza msomi huyu akiongea kwa data.